Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Haha daah mtu akiita mrembo siitikagi kabisa lol..

Tumefika chuo ile 1st year, so na ugeni ule basi tukitembea ni kwenye makundi makundi. Kaja mkaka akatusalimia "habari zenu warembo " tukaitikia wenyewe. Alichotujibu sasa "Eeeh kumbe na nyinyi ni warembo". Aisee tulicheka
Ha ha masista du mna vituko...mchuchu wangu mmoja alikuwa hapendi kweli nikimuita mrembo! Napenda nikipokea simu naanza 'niambie mrembo....'
 
Haha daah mtu akiita mrembo siitikagi kabisa lol..

Tumefika chuo ile 1st year, so na ugeni ule basi tukitembea ni kwenye makundi makundi. Kaja mkaka akatusalimia "habari zenu warembo " tukaitikia wenyewe. Alichotujibu sasa "Eeeh kumbe na nyinyi ni warembo". Aisee tulicheka
Haha haha... Acha Woga Muremboo Heaven Sent.
 
Haha daah mtu akiita mrembo siitikagi kabisa lol..

Tumefika chuo ile 1st year, so na ugeni ule basi tukitembea ni kwenye makundi makundi. Kaja mkaka akatusalimia "habari zenu warembo " tukaitikia wenyewe. Alichotujibu sasa "Eeeh kumbe na nyinyi ni warembo". Aisee tulicheka
Au kulikuwa na kundi lingine pembeni....🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom