Msaka_uchawi
Senior Member
- Feb 16, 2017
- 104
- 213
hapana mkuu mie mupya kabisaaa aiseeee [emoji2] [emoji2] [emoji2]Haha na wewe ni mhanga
Tena damu changa aka kizazi kipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana mkuu mie mupya kabisaaa aiseeee [emoji2] [emoji2] [emoji2]Haha na wewe ni mhanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh. Uwataje basi kama wengine tupo tukapate vibalimi vya moto kwa mtogole bar
Hakuna sio kwa kuchangamka huku. Wewe jitaje bwana wengine wameshajitaja huko nyumahapana mkuu mie mupya kabisaaa aiseeee [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tena damu changa aka kizazi kipya
Chonde mafile yenu mbaki nayo Tuu..Mtajeeeeeeeee!
Hizi sifa mmeambizana au kuna agenda ya siri?100% nakubaliana na wewe, huyo dadako sio mchezo.. Na Shemejio ujue anafaidi sana.. Yaani lazima atakuwa hachoki kuwahi home. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3][emoji16][emoji3][emoji16] .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujikute tu ukiwemo[emoji57]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Usije kabisa. Na nitaweka ulinzi
hahaha hapana mzee mie kizazi kipya wala sina wenyeji humu ,ila kwavile nimekuta shughuli uwanjani acha nichangamke maana hii ni harusi wala sio msibaHakuna sio kwa kuchangamka huku. Wewe jitaje bwana wengine wameshajitaja huko nyuma
Udada pia una raha yake mdogo wangu.Haha.. huwa napenda kutumia msemo kwanini wote wazuri ni dada zangu. Na ndicho kilichonikuta mimi.
Unavyopenda sifa sasa... hadi kingereza leo kimepanda.Hizi sifa mmeambizana au kuna agenda ya siri?
Thanks tho[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Poa mkuu karibu bwana sie tupohahaha hapana mzee mie kizazi kipya wala sina wenyeji humu ,ila kwavile nimekuta shughuli uwanjani acha nichangamke maana hii ni harusi wala sio msiba
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Raha ya kuombwa pesa au kuletewa mashemeji wapiga vibomu?Udada pia una raha yake mdogo wangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hapana mkuu mie mupya kabisaaa aiseeee [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tena damu changa aka kizazi kipya
[emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu utetezi hebu uhakikiwe, sio bure.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16] .
Kama sipo nipe mchango
Hapo kwenye kuhakiki ndipo mnapoharibugiii ,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu utetezi hebu uhakikiwe, sio bure.
asnte mwenyeji kwa kunikaribisha mgenii[emoji87] [emoji87]Poa mkuu karibu bwana sie tupo
Umwbadili ID?asnte mwenyeji kwa kunikaribisha mgenii[emoji87] [emoji87]