Mahmoud Shariff Qaasim
JF-Expert Member
- Nov 3, 2007
- 923
- 267
KWA kujikakamua kupata udadavuziMkuu, umefunga thread... C kwa udadavuzi huo 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA kujikakamua kupata udadavuziMkuu, umefunga thread... C kwa udadavuzi huo 😀😀😀
ID ipi? mkuu?Umwbadili ID?
Anajua maneno hayo hayoooo......Unavyopenda sifa sasa... hadi kingereza leo kimepanda.
Eti thank you tho hahah
Bora umesema vigelegele......?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ulishaniambia mimi sitoi mchango, kazi yangu vigelegele tu.
Thread haifungwi hiii.......Mkuu, umefunga thread... C kwa udadavuzi huo 😀😀😀
Mkuu taja ile ID nyingine inatwaje bas.Hapo kwenye kuhakiki ndipo mnapoharibugiii ,
mambo mengine ni heri mkayaacha tu yaende na mvua hizi za masika [emoji2] [emoji2] [emoji2]
kisa cha kutembezana na boxer humu nini jaman![emoji87]
Nawewe ni mgeni?Heheheeeee, haloooooo. Jamani mie[emoji108][emoji108]
Ile nyingine unayotumia hapa JFID ipi? mkuu?
Asante mwenyeji wangu kwa ukarimu wako wewe na Daby maana kweli najihisi mwenyeji japo mgeniMkuu taja ile ID nyingine inatwaje bas.
Karibu mgeni mwenyeji!
Yaaaa siyo kwa wenyeji huu.....Hakuna sio kwa kuchangamka huku. Wewe jitaje bwana wengine wameshajitaja huko nyuma
Ile sio yangu ,wewe si ndo ulikuwa unatumia au uliacha ??Ile nyingine unayotumia hapa JF
Inamaana baba na mama yako wako vizuriiiiiiHaha.. huwa napenda kutumia msemo kwanini wote wazuri ni dada zangu. Na ndicho kilichonikuta mimi.
Weeeeh!! Shemeji yako gani alikupiga vibomu!!!Raha ya kuombwa pesa au kuletewa mashemeji wapiga vibomu?
Kumbe upya raha eeh!![emoji16][emoji16]
Umeuona eeeh amelilia saana eti mupya wacha nimwache tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kwenye kuhakiki ndipo mnapoharibugiii ,
mambo mengine ni heri mkayaacha tu yaende na mvua hizi za masika [emoji2] [emoji2] [emoji2]
kisa cha kutembezana na boxer humu nini jaman![emoji87]