Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Ndiyo nilikuwa siwajuaiWote unaowajua leo ulikuwa huwajui kabla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nilikuwa siwajuaiWote unaowajua leo ulikuwa huwajui kabla.
Utabemendwa pm usiingie ingie tu. Tuachie sisi wazee wenzaoKumbe kuna vikongwe humu ndani ?
Wewe jamaa kazi inaendelea aje? Kuna file jipya?Kijana nimempeleka training... haiwezekani muchuchu mitano mfululizo impige chini. Kaenda Venezuela kunoa kipaji...
nina wasiwasi na huyu Miss NatafutaMkuu hayakupata nini? ID mpya zinashawishi kweli ukiingia unagundua ni mzoefu anakuchora tu.
Kuna binti wa kiarabu anaitwa Arabian queen ... ndio niko kwenye mchakato wa kumsajili kwenye chamaWewe jamaa kazi inaendelea aje? Kuna file jipya?
Huyu si yule kungwi wa JF. Haya kazi njema ila kumbuka sharing is CaringKuna binti wa kiarabu anaitwa Arabian queen ... ndio niko kwenye mchakato wa kumsajili kwenye chama
Siwezi kuisigina katiba kwa kusahau takwa muhimu kabisa la rasimu ya katiba mama.
Naam sheikh...Hii ndio maana halisi ya mapenzi mubashara..
Hewaala.Siwezi kuisigina katiba kwa kusahau takwa muhimu kabisa la rasimu ya katiba mama.
Hofu hasa ni ya kutongozwa au?Mimi mmoja wapo...hadi niingie kwenye gari yako niwe nakufahamu vizuri. Wanaume viumbe wa ajabu sana
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Mnaroho ngumu nyinyi acheni kutuchora bhanaaIla raha sana kumchora mtu [emoji41] [emoji41]
Inasikitisha huna ujualo mwinzio kesha jua mpaka mwisho wakoMsitufanyie hivyo jamani...
Mnaroho ngumu nyinyi acheni kutuchora bhanaa
Sijafichwaa bhanaa nipoUmekuwa adimu siku hizi nani anakuficha?
Sisi malengo yetu ni mazuri kwenu sasa mnapotuchora hua mnalenga nini hasa?Hivi mnajua kuwa nyie ndio huanzisha sie tunamalizia tuu? Mwalimu wa mwanamke ni mwanaume.
Wewe jamaaHofu hasa ni ya kutongozwa au?