Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Naona jiwe likifika mahala pake wengine mnacheka na wengine mshangao tuHahaha
Haya na wewe umo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona jiwe likifika mahala pake wengine mnacheka na wengine mshangao tuHahaha
Asa unyongwe bila sababu jamani? tena niko pekeanguSi bora kutongozwa una hiari ya kukataa au kukubali
Since umeuliza ngoja nikwambie. Sijawahi kubadili ID yangu na sijawahi miliki ID mbili tofauti, ukizingatia mi sio Active member kiviile. So jiwe halinihusu mkuu ila nimecheka tu kuna jamaa alivyosema eti asije tongoza watu mara ya 2, 3 au ya 4[emoji16]Naona jiwe likifika mahala pake wengine mnacheka na wengine mshangao tu
Haya na wewe umo?
Vizuri sana mdadaSince umeuliza ngoja nikwambie. Sijawahi kubadili ID yangu na sijawahi miliki ID mbili tofauti, ukizingatia mi sio Active member kiviile. So jiwe halinihusu mkuu ila nimecheka tu kuna jamaa alivyosema eti asije tongoza watu mara ya 2, 3 au ya 4[emoji16]
DuuhVizuri sana mdada
Huyo jamaa hajadanganya kuna walio kili kuwachora vidume vikimwaga voko kwa mata ingine teh teh
Hakika nisemayo yani ukiona id mpya imekuja itafakari huenda alishindwa mwanzoDuuh
Pole yenu wazee wa PM, tehHakika nisemayo yani ukiona id mpya imekuja itafakari huenda alishindwa mwanzo
Mbona unanishirikisha mimi sipajui huko PM labda kama utanielekeza kwa kunikaribishaPole yenu wazee wa PM, teh
Sweetiepie haya taja yako nyingine bas[emoji4] [emoji4] ili kutunusuru na hilo janga La kurudia tongozo!Hahaha
Nna ID moja tu!! mi huwa nabadili picha tu [emoji4].Sweetiepie haya taja yako nyingine bas[emoji4] [emoji4] ili kutunusuru na hilo janga La kurudia tongozo!
MhhMbona unanishirikisha mimi sipajui huko PM labda kama utanielekeza kwa kunikaribisha
Haha haKwani mko wapi wadau wa ID mpya? Au thread ya Msando.....
Haha haha.... Nyie tuchoreni tuu!Nna ID moja tu!! mi huwa nabadili picha tu [emoji4].