Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Naona jiwe likifika mahala pake wengine mnacheka na wengine mshangao tu

Haya na wewe umo?
Since umeuliza ngoja nikwambie. Sijawahi kubadili ID yangu na sijawahi miliki ID mbili tofauti, ukizingatia mi sio Active member kiviile. So jiwe halinihusu mkuu ila nimecheka tu kuna jamaa alivyosema eti asije tongoza watu mara ya 2, 3 au ya 4[emoji16]
 
Vizuri sana mdada

Huyo jamaa hajadanganya kuna walio kili kuwachora vidume vikimwaga voko kwa mata ingine teh teh
 
Back
Top Bottom