Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada angu mimi
Bag yangu jamani
Fungua mpya mtajuana kuwa ni walewale wakati mnahema, zima taa kabisaMimi nimeamua kukomaa na nyie wenye ID za zamani..ila hizi mpya zinashawishi sana.🙂🙂🙂
Irudi amu na Omotola.....yummy
Duh nani kafukua kaburi?! Kuna watu wanatuchanganya humu
Nilikuwa na imagine tu amu kama OmotolaHii picha nashindwa kuisave kwenye simu ili niiweke humu niitumie. View attachment 1347548
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalikumbuka lile jina nililokutongoza mwanzo...😛😛😛😛
Ndio maana yake...
Nilikuwa na imagine tu amu kama Omotola
Duh nimechelewaNdivo nilivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama omo sexy.
Mimi amu sexy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!Fungua mpya mtajuana kuwa ni walewale wakati mnahema, zima taa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefukua kaburi eeh? Ila mimi natamani kurudisha I'd yangu ya zamani ujue hii naona haijanoga [emoji16][emoji16]
Umefukua kaburi eeh? Ila mimi natamani kurudisha I'd yangu ya zamani ujue hii naona haijanoga [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe kazi ya kuirudishaUmefukua kaburi eeh? Ila mimi natamani kurudisha I'd yangu ya zamani ujue hii naona haijanoga [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
KhantweKwani mwenzetu ulikuwa unatumia IPI?? Au ndiyo paprika wewe