Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

Kwa upande wa Public Relation Officer ii
Maswali machache ninayo kumbuka
1.Ethics of public relations
2.Criteria of good research
3.How research used to solve problems
4.
5.
4 &5 unasoma na kujibu.
Ndio hayo yaliyojiri hapo Public Relation Officer ii
 
Kwa maswali haya, hii pepa ilikuwa imeshiba. Maana hayo maswali ya Tax inabidi uwe umesoma Tax in deep sana aseee
Pole sana Mzee Baba. Mtihani ni mtihani tu aseee hii pepa ina balaa
 
Kwa maswali haya, hii pepa ilikuwa imeshiba. Maana hayo maswali ya Tax inabidi uwe umesoma Tax in deep sana aseee
Pole sana Mzee Baba. Mtihani ni mtihani tu aseee hii pepa ina balaa
Lakini how comes wewe mchumi,accountant au mwengine umeomba kazi ya tax mngmnt officer hlf usijikite kwenye nondo za tax?kumbuka pale sio chuoni, wanatafuta mfanyakazi wa fani husika
 
Kwa upande wa Public Relation Officer ii
Maswali machache ninayo kumbuka
1.Ethics of public relations
2.Criteria of good research
3.How research used to solve problems
4.
5.
4 &5 unasoma na kujibu.
Ndio hayo yaliyojiri hapo Public Relation Officer ii
Kwa jinsi nilivyokua nimejiandaa kwenye research,hivyo viswali vyake ningekutana navyo ningechekelea sana.
 
Lakini how comes wewe mchumi,accountant au mwengine umeomba kazi ya tax mngmnt officer hlf usijikite kwenye nondo za tax?kumbuka pale sio chuoni, wanatafuta mfanyakazi wa fani husika
Upo sahihi Heaven. Ila ninachofahamu ni kwamba; watu waliosoma accounts,economics hawasomi vitu vya tax kwa undani sana kama ilivyo watu waliosoma Tax so kwa watu wa accounts & economics wana haki ya kulalamika kwa hilo pepa
 
na kwa waliofanya tax mgt assistant officer maswali yalikuaje
 
Wakuuu naombeni msaaada kidogo nina taka kuandika cover letter ishu za Human Resource Management mwenye anaelewa kidogo anisadie au mwenye sample
 
Wakuuu naombeni msaaada kidogo nina taka kuandika cover letter ishu za Human Resource Management mwenye anaelewa kidogo anisadie au mwenye sample
 
sio kitoto hayo maswali labda kwa waliosoma chuo cha kodi akufukuzae akwambii toka
 
Kwa upande wa Public Relation Officer ii
Maswali machache ninayo kumbuka
1.Ethics of public relations
2.Criteria of good research
3.How research used to solve problems
4.
5.
4 &5 unasoma na kujibu.
Ndio hayo yaliyojiri hapo Public Relation Officer ii
Nipe points (Nyanga) Hilo swali la 3
 
Naomba kufahamu maswali yalyo toka kwa custom assistant c
 
Kwa jinsi nilivyokua nimejiandaa kwenye research,hivyo viswali vyake ningekutana navyo ningechekelea sana.
Nipe dondoo Hilo swali la tatu, sijui linaingilikaje.. Maswali ya "How" Huwa yananibore sana😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…