Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

Genta...SPY MBOBEZI katika ubora wako!
 
Nina uhakika mimi ninaishi maisha ya raha sana pamoja na amani kuliko wateule wa Magufuli.

Maana huko kuchambwa sio kwa kawaida. Hapo kachambwa Majaliwa, Mkewe na Wananchi wa Lindi teh teh teh!

Dada Mange kamharibu sana rais wetu kipenzi.
 
What are you talking about, stupid?
 
Kumbe hata wewe saa zingine unakuwaga fala hivi...!? Sasa kujipendekeza unakokuzungumzia si ndio hivi na wewe unafanya!?
 
Majaliwa ana siku chache sana za kuwa Waziri Mkuu. Ajiandae kisaikolijia.
Kama kuna JF Member aliyetoa Jibu Kuntu ( sahihi ) kabisa tena kwa 100% na ndiyo nilikuwa nalo pia ni Wewe Mkuu. Heko sana 'Jamaa' hadumu.
 
Genta...SPY MBOBEZI katika ubora wako!
Mkuu tafadhali acha kabisa kunipa 'Hadhi' ambayo 'sistahili' kuwa nayo na pia hata siiwezi. Ukiniita tu 'Mchambuzi wa Masuala' kidogo nitakuelewa.
 
Kama kuna JF Member aliyetoa Jibu Kuntu ( sahihi ) kabisa tena kwa 100% na ndiyo nilikuwa nalo pia ni Wewe Mkuu. Heko sana 'Jamaa' hadumu.
Natabiri issue ya saruji ina walakini....
 
Kama vp washa VPN Ila Majaliwa anatoboa hapo na ndo president 2025

Ila mimi wa peoples power lakini wakipeleka majina ya viti maalumu nawaaama mchana kweupe
Mungu hadhiakiwi, anaweza asimaliza hata mwaka huu Mungu akampenda zaidi.

Wanadamu mmejaa kiburi cha uzima wakati hamuijui saa wala siku, wewe ni umavumbi na mavumbini utarejea.
 
Hiyo CIRCLE uliyotaja sidhani kama itakuja kukatika kwa ulimwengu huu tulionao na mifumo yetu Africa...






ukitaka sababu nakupa
 
Kupongeza ni uungwana na ustaarab kumkalia kimya aliyekupongeza si ustaarab ni kibri na majivuno pia ni machukizo mbele ta Mungu
Hivi hata wewe ungeambiwa umeapa vizuri ungejibu nini?

Pumbavu kabisa.
 
Nimependa sana angalizo la rais kwa PM. Ni kumjenga atimize matarajio ya wananchi na si kutumia cheo kile kwa manufaa yake na mkewe tu. Pia nimegundua Rais anampenda sana PM na aweza kuwa ni yeye 2025 kama ataogelea ktk angalizo la Leo la Rais. Majaliwa anabahati sana kwa kupewa area of concetration za mtihani wake wa 2025 tena in public
 
Hii issue ya saruji itaondoka na kichwa cha mtu muda ni wakati mzuri tusubiri.
Mimi siyo mtabiri,
lakini issue ya Korosho ilimkosakosa mtu lakini this time kuna mtu anajipeleka kibla kabla ya muda
 
Kimei ni Mchaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…