Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

Hii issue ya saruji itaondoka na kichwa cha mtu muda ni wakati mzuri tusubiri.
Utaondowa wangapi sasa? Wakati Mabeberu kibano chao bado hata kuanza?

Wengi hawajuhi Nyerere hakungatuka kwa kupenda, alikimbia kibano cha Mabeberu na kumuachia zigo la mavi Mwinyi.

Kitu cha kutia moyo Magu ameonesha utayari wa kuondoka madarakani atakapomaliza muhura wake wa pili.

Sasa tunasubili mbunge kiherehere aje tena na hoja za kuongezewa muda albadiri itamuhusu.
 
Kwanza Magufuli ameshusha hadhi ya waziri mkuu..huwezi kumwapisha waziri mkuu ambae kimamlaka ni namba 4.ukamwapisha na mawaziri w kawaida kula kiapo
Huo ni uvunjifu wa heshima wa cheo kwa wateuzi wako.
Hapana. PM atabakia kuwa PM bila kujalisha kaapa pamoja na nani. Hadhi yake ni ya kikatiba na atabaki kuwa kiongozi wa mawaziri..

Hao wawili pamoja na wakuu wengine watahusika kuteua mawaziri wengine kwa kushauriana.

Kuhusu kauli za Raisi binafsi ninaona ni baraka kwa PM katika fumbo. Sina mashaka na utendaji wake.
 
"Huna hakikisho la kuwa hapo kwa miaka mitano"

"Acha kudhani kuwa ni mwenye bahati kuliko wengine"

"Hata Mkeo nae ajiandae Kisaikolojia kama usipodumu hapo"

"Nilipokuwa naapishwa alinitumia Meseji ya Pongezi na wala sikumjibu ili asije kudhani kuwa bado atakuwa Waziri Mkuu"

"Umesema Mkeo anakupa Raha ila kwa sasa sidhani hata kama hiyo Raha utaipata tena"

"Na wala Watu wako wa Lindi huko waache Kujisifu kuwa Wewe umerejea tena na utadumu katika Cheo hiki"

"Kudumu Kwako kama Waziri Mkuu kutatokana tu na Ufanyaji Kazi wako ila usijiaminishe kuwa utadumu kama Sumaye"

Binafsi kuna nilichokigundua kwa haraka sana hasa baada ya Kuangalia tu 'Body Language' ya Rais Dkt. Magufuli na 'Hofu' machoni mwa Waalikwa ila nitakisema baadae kabisa.

Na leo pia nimeweza kujua 'Sifa' nyingine aliyonayo Rais Dkt. Magufuli ya kutokuwa Mtu wa 'Kutabirika' kutopenda 'Mazoea' hana 'Unafiki' na anachukia mno Mtu 'Kujipendekeza' hovyo Kwake.
Basi hujamjua vizuri Meko anachokifanya ni kuwaweka hofu aliowateuwa yaani kwa mfupi jamaa anapenda kuabudiwa kama mungu na mimi ningekuwa ni Majaliwa,nisinge kubali kufanya kazi katika hali hiyo,ningemwambia asante mkuu chagua mwingine mimi mitano inanitosha sababu hamna maisha mabaya kama ya hofu sio maisha kabisa bora uishi katika dhiki lkn unafuraha ya moyo,kuliko kuishi katika madaraka na hela alafu hofu kila wakati.
 
Wewe mzee utachanganyikiwa,

Kwani hujui kuwa Majaliwa ndiye ajaye? Kama unaona kachukiwa jiongeze acha uchochezi
Tatizo la vijana hawajui kusoma majira. Hawajui kuchambua parables
 
"Huna hakikisho la kuwa hapo kwa miaka mitano"

"Acha kudhani kuwa ni mwenye bahati kuliko wengine"

"Hata Mkeo nae ajiandae Kisaikolojia kama usipodumu hapo"

"Nilipokuwa naapishwa alinitumia Meseji ya Pongezi na wala sikumjibu ili asije kudhani kuwa bado atakuwa Waziri Mkuu"

"Umesema Mkeo anakupa Raha ila kwa sasa sidhani hata kama hiyo Raha utaipata tena"

"Na wala Watu wako wa Lindi huko waache Kujisifu kuwa Wewe umerejea tena na utadumu katika Cheo hiki"

"Kudumu Kwako kama Waziri Mkuu kutatokana tu na Ufanyaji Kazi wako ila usijiaminishe kuwa utadumu kama Sumaye"

Binafsi kuna nilichokigundua kwa haraka sana hasa baada ya Kuangalia tu 'Body Language' ya Rais Dkt. Magufuli na 'Hofu' machoni mwa Waalikwa ila nitakisema baadae kabisa.

Na leo pia nimeweza kujua 'Sifa' nyingine aliyonayo Rais Dkt. Magufuli ya kutokuwa Mtu wa 'Kutabirika' kutopenda 'Mazoea' hana 'Unafiki' na anachukia mno Mtu 'Kujipendekeza' hovyo Kwake.
PM wa JPM ni Bashite au Mnyeti, KM atang'olewa katikati ya safari. Mark my words!
 
Utaondowa wangapi sasa? Wakati Mabeberu kibano chao bado hata kuanza?

Wengi hawajuhi Nyerere hakungatuka kwa kupenda, alikimbia kibano cha Mabeberu na kumuachia zigo la mavi Mwinyi.

Kitu cha kutia moyo Magu ameonesha utayari wa kuondoka madarakani atakapomaliza muhura wake wa pili.

Sasa tunasubili mbunge kiherehere aje tena na hoja za kuongezewa muda albadiri itamuhusu.
Hakuna kibano chochote, mabeberu wanasubiri serikali iundwe washirikiane na serikali kujenga uchumi.Mnaosubiri kibano mngeongea na Lissu awamegee alichokikuta huko EU.Ndiyo maana ameamua kubadili gia angani, sasa anaomba maridhiano.Soon wabunge wa viti maalum kutinga bungeni. Wafuasi mnajipa moyo na ICC mmeliwa tigo
 
Kama vp washa VPN Ila Majaliwa anatoboa hapo na ndo president 2025

Ila mimi wa peoples power lakini wakipeleka majina ya viti maalumu nawaaama mchana kweupe
Rekodi inamkataa
Hakuna waziri mkuu aliyewah kuwa rahisi most wanashindwa
 
Kiitifaki na hata Kikatiba ( katika Kiapo ) hakuna Kosa lolote au Uvunjifu wowote ule wa 'Kiutaratibu' amefanya. Pelekeni huko 'Chuki' zenu Kwake.
Hatuna chuki zozote ila nimesema ameshusha hadhi ya Uwaziri mkuu.
Unamwapishaje Waziri mkuu na mawaziri wa kawaida ...yan mawaziri wa kawaida wale kiapo na PM uliona wapi?
Kiutaratibu PM angeapa kwanza zen hao mawaziri ndio wangekula kiapo siku nyingine
 
Hapana. PM atabakia kuwa PM bila kujalisha kaapa pamoja na nani. Hadhi yake ni ya kikatiba na atabaki kuwa kiongozi wa mawaziri..

Hao wawili pamoja na wakuu wengine watahusika kuteua mawaziri wengine kwa kushauriana.

Kuhusu kauli za Raisi binafsi ninaona ni baraka kwa PM katika fumbo. Sina mashaka na utendaji wake.
Najua PM Atabaki kama PM had 2025 hilo sina mashaka nalo .na huenda akaingia kwenye kinyang'anyiro cha URAIS
 
Ahadi Ya Mwana Tanu
Cheo Ni Dhamana!!
Rushwa Ni Adui Wa Haki

Wenye Akili Najua Mmenielewa!!
 
Basi hujamjua vizuri Meko anachokifanya ni kuwaweka hofu aliowateuwa yaani kwa mfupi jamaa anapenda kuabudiwa kama mungu na mimi ningekuwa ni Majaliwa,nisinge kubali kufanya kazi katika hali hiyo,ningemwambia asante mkuu chagua mwingine mimi mitano inanitosha sababu hamna maisha mabaya kama ya hofu sio maisha kabisa bora uishi katika dhiki lkn unafuraha ya moyo,kuliko kuishi katika madaraka na hela alafu hofu kila wakati.
Kama nilivyokuwa nimefikiria. Baada ya kutukanwa kote kule na hata kutishiwa shangazi yake….! Angesema asante. Hilo lingemjenga na pngine kujitokeza tena baadaye kama mtu who stood up to a bully!
 
Mimi Nadhani pengine Rais magufuli alikosa wa kumteua uwaziri mkuu, Hivyo hayo yote ni kumtaarifu majariwa ya kwamba mda wowote akiona chuma kingine kinafaa atamteua

Hivi mtu kama Dr Charles kimei ni wa kua mbunge tuu ?? Nasubiria kuona makubwa kutok kwake
Tatizo sio msafi
 
Majaliwa ana siku chache sana za kuwa Waziri Mkuu. Ajiandae kisaikolijia.
Pia kitendo cha kutaja orodha ya mawaziri wakuu wastaafu toka tupate Uhuru ni indicator kwa PM kaa chonjo kuna waliodumu kwa mwaka mmoja tu upm
 
Back
Top Bottom