matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Dose ya pili ni NovemberKimsingi chanjo ya ugonjwa huu imethibitika ni vita vya Ukraine na Russia.
Maana baada ya media kutuhamishia huko ugonjwa ukajifia.
Nimejifunza kuwa mvumilivu na mpole maana dunia inaenda kasi na mambo mengi ni ya kubuma au kutengenezwa, ikiwemo magonjwa ya kutengenezwa.
Ni hayo tu
Tuliambiwa mtakufa.Mimi nipo poa kabisa
Kimsingi chanjo ya ugonjwa huu imethibitika ni vita vya Ukraine na Russia.
Maana baada ya media kutuhamishia huko ugonjwa ukajifia.
Nimejifunza kuwa mvumilivu na mpole maana dunia inaenda kasi na mambo mengi ni ya kubuma au kutengenezwa, ikiwemo magonjwa ya kutengenezwa.
Ni hayo tu
UliyakanyagaBinafsi nlipata chanjo... I am doing great.
Hizo chanjo(codes siku ziki misbehave) humo mwilini hali itakuwajeChanjo muhimu
Uvuki mpaka bila kibunda cha chanjo
• Homa ya manjano
• uviko
• sijui ini
• ya Mbu inakuja
• ya ukimwi ipo mahabara
• ya ebola inasogea
• ya dengue inafangiwa tafiti
• nk
Wasafiri tutachoma... mliojifungia nyie ata msipo choma hakuna neno
Wawe wanatushtua, unaweza kuingiziwa virusi wa ushoga kisa West. Tuwe tunatonyana tunaweka maji ya dasani badala ya kinga zao ili tuwafurahishe kwa akili.Ile ilikuwa kwa ajil ya kupata maokoto yetu toka west uko...tumepata
Hatati sana.Chanjo muhimu
Uvuki mpaka bila kibunda cha chanjo
• Homa ya manjano
• uviko
• sijui ini
• ya Mbu inakuja
• ya ukimwi ipo mahabara
• ya ebola inasogea
• ya dengue inafangiwa tafiti
• nk
Wasafiri tutachoma... mliojifungia nyie ata msipo choma hakuna neno
Mashoga nao wanafungu lao ili waeneze ushoga...Wawe wanatushtua, unaweza kuingiziwa virusi wa ushoga kisa West. Tuwe tunatonyana tunaweka maji ya dasani badala ya kinga zao ili tuwafurahishe kwa akili.
West wale wamepinda sana. Hawaoni hasara kutoa kafara taifa zima.
Ndiyo sisi hao MkuuDah [emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kinoma