maxmiller pro
JF-Expert Member
- Jan 1, 2022
- 225
- 399
Uongo huo.wewe kumbatia ujinga..!kwanini usimtafutie kibarua afanye apate ridhiki?final ishi mbali na family yako!jijenge.saidia wazazi tuhMkuu nina ndugu yangu mmoja hivi kwa mfano, kwa bahati mbaya kila nikijaribu kumshika mkono mambo yanakuwa yanenda ndivyo sivyo. Biashara hazifanikiwa yaani kila kinachoguswa hakiendi. Nilidhani ni uzembe nikafanya alaysis nikagundua yapo mambo mengine huenda ni nje ya uwezo.
Akitekeleza hivyo vyote,mafanikio lazima yawepoTumia mbinu chache tu, na matunda utayaona!
1) Ishi mbali kabisa na familia. Yaani ishi Mkoa wa mbali kidogo kutoka kwa hao ndugu zako. Na uhakikishe wanakubatiza jina jipya la SINA HELA! Yaani wakikupigia simu kwa ajili ya kukupiga mzinga, jibu lako liwe fupi tu; mimi SINA HELA! Watakusema weeeh! Baadaye watazoea.
2) Hakikisha huwaambii mipango yako ya maendeleo/wasifahamu mali unazo miliki/ ulizonunua. Yaani kwao iwe suprise tu, siku wakija kwenye matukio.
3) Jitahidi uwe na nidhamu ya fedha. Yaani tumia 1/3 ya kipato chako. Na ili ufanikiwe katika hili; ingia benki, vuta mkopo chefu chefu! Fanyia malengo. Kinacho bakia, ndiyo upambane nacho mpaka akili ikukae sawa.
Jibu zuri hili. Fanyia kazi. Nilifanya hivi mimi. I was in the same situation kama mleta maada. Ila nikahama mji.Kama unafanyia kazi karibu na ndugu au ukoo wako hama nenda mikoa ya mbali na usi disclose/usitoe taarifa zako za kipato kwa ndugu maana ndg wengine hawajishughurishi akipata shida kidogo kwa furani
wakati ni sasa tumia kipato chako vizuri
Watu wa kuwasaidia ni wazazi wako tu hao wengine wapambane na khari zao binadamu hawana wema haohao unaowasaidia watakuja kukucheka
Jana mtoto wa kaka kupitia Shem ex wife wa brother kaomba hela ya viatu na michango ya mtoto ..Unawezaje Mkuu. Assume brother ako hana kabisa hata pesa ya msosi. Kumbuka ni kaka yako wa damu. Tupeane mbinu. Huenda na mie nikabadili strategies.
Mkuu, wahenga walinena kutoa ni moyo. We endelea tu kutoa huenda ndio njia nyako ya mafanikio. Usijejikuta unafilisika kabisa utakapoacha kutoa. Maisha ya hapa Duniani ni complex phenomenon ambayo si rahisi kuielezea. Ila katika hali ya kawaida kibinadamu, kadri unavyotoa ndio unavyoishiwa akiba na kuishia kuwa mtu wa kawaida tu. Watu wengi wanaotoboa ni mabahili sana. Unaona hii complexity?Jana mtoto wa kaka kupitia Shem ex wife wa brother kaomba hela ya viatu na michango ya mtoto ..
Usku brother mwenyewe kanipiga rungu kuwa yupo shmbn na amekwama na hela ya chakula..40k imenitoka...Kuna muda najiona dalili za kufilisika nje nje ..
Hapo nawasomeshea watoto wao ..wenyewe wanavitambi Mimi nasinyaa kukomaa Biashara isife..
Ndio mkuu. Siyo kwamba wanajirudia walewale. Kutokana na wingi wa watu unajikuta kila mwezi hawakosekani. Si unajua sisi familia maskini tuliotoka vijijini bado tuna ule mfumo wa extended family? Mfano unakuta kuna mtoto wa Mjomba, Dada, Kaka, Shangazi, Ba Mkubwa anahitaji msaada kidogo wa mahitaji ya shule n.k.Inamahana hao ndugu zako kila mwenzi wanakuwa nashida?
Endelea kuwa na Moyo WA kutoa Saudia pale unapoona panafaa kusaidia ukiiendekeza ndugu utalia na hutafsnya maendeleo yoyote kwenye life lakoUnawezaje Mkuu. Assume brother ako hana kabisa hata pesa ya msosi. Kumbuka ni kaka yako wa damu. Tupeane mbinu. Huenda na mie nikabadili strategies.