Mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine kupitia ESS naomba msaada wenu

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Screenshot_20240821-162438_2.jpg
Naombeni mnifahamishe utaratibu mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine hapa inakuwaje..

Naona inakuja option ya kuchagua mikoa badala ya kuja orodha ya taasisi then nichague taasisi ninayoitaka/ninayoitaka kuhamia.

Hapa panakuwaje wakuu..?
Screenshot_20240821-162511_2.jpg
 
Sorry mkuu nje ya maada unatoka mkoa gn mpaka utake mtwara...naomba tu unijibu mkuu maana hata mimi ni mtumish huku kusini..je mtwara ni mkoa wako ulipozaliwa umezaliwa mkoa gn?
 
Kabla ya kufanya mabadiliko kwenye kipengele cha TRANSFER ilikuwa inaonesha option ya Taasisi, lakini baada ya kufanyiwa mabadiliko ikaiondoa hiyo option.

Unaomba kuhamia Taasisi usiyojua kama kuna nafasi ama la!
Nafikiri ndo chanzo cha mabadiliko.

Option ya any Institution (Penye nafasi), una bet.

Nenda kwenye option ya VACANCY (Nafasi), utaweza kuweka Taasisi unayoomba nafasi.
 
Sawa mkuu
 
Sorry mkuu nje ya maada unatoka mkoa gn mpaka utake mtwara...naomba tu unijibu mkuu maana hata mimi ni mtumish huku kusini..je mtwara ni mkoa wako ulipozaliwa umezaliwa mkoa gn?
Sio kwamba nataka kuhamia Mtwara hapana,, Hiyo ni shade tu imekaa wakati na scroll kuelekea chini kutafuta Organization
 
Back
Top Bottom