Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Hahaa. Watu tunapenda formalities.Huu mfumo pasua kichwa umewekwa kama kidhibiti harakati za uhamisho,ukiishi kutegemea mfumo utachelewa sana jiongeze.
Sawa mkuuKabla ya kufanya mabadiliko kwenye kipengele cha TRANSFER ilikuwa inaonesha option ya Taasisi, lakini baada ya kufanyiwa mabadiliko ikaiondoa hiyo option.
Unaomba kuhamia Taasisi usiyojua kama kuna nafasi ama la!
Nafikiri ndo chanzo cha mabadiliko.
Option ya any Institution (Penye nafasi), una bet.
Nenda kwenye option ya VACANCY (Nafasi), utaweza kuweka Taasisi unayoomba nafasi.
Sio kwamba nataka kuhamia Mtwara hapana,, Hiyo ni shade tu imekaa wakati na scroll kuelekea chini kutafuta OrganizationSorry mkuu nje ya maada unatoka mkoa gn mpaka utake mtwara...naomba tu unijibu mkuu maana hata mimi ni mtumish huku kusini..je mtwara ni mkoa wako ulipozaliwa umezaliwa mkoa gn?