Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

Hahahahahhh...Umenichekesha sana kama nakuona vile.
 
Hawa ni matapeli..nasema tena hawa ni matapeli..alafu ckuiz yemeenda kwa walimu wastafu humo kijijini ili ukijiunga wewe uliye stafu ni rahis kuwa na hzo ml 4 na comcomvice mwenzie ajiunge hata kwa mwalimu ambaye hajastaff ili iwe rahic wewe uliyestaff inakuwa rahic kumlipia hyo ml 4 yaaan ni matapel kabsa hzo ella ml 4 fanya kitu cha msingi cyo kuingia nazo qnet na allayance me niliendaga kwenye seminer zao nilkaa kidgo nikatokea mlango wa pil..yaan watz tunatekwa na vitu vdogo sana kwa kukosa maarifa mpka na leo jamaa yangu aliweka ml4 anajuta anahaha mana ili uinuke au ufanikiwe ni lazima umtafute mwenzko wa ml 4 ajiunge ndo utafanikiwa otherwise utasugua bench mpk ujute maisha yako yote
 
Ukiingia kichwakichwa umeliwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee hapo kwenye ushihuda ka makanisa ya manabii
 
Pyramid schemes, ni za K’ Sana.

Tatizo, wale wanaokuletea business, wanafanya juu chini ili waweze kukulaghai, ujiunge. Na ukisha jiunga, you are in for it, I mean unakuwa umeshaliwa bila ya wewe kujijua.
Wazungu wanasema “Pyramid scheme is whereby a person is fooled and trained to fool others so as to earn unreliable money expected to be earned from the double fooled ones who are also known as newbies”

Kwa maoni yangu, bora hata biashara ya Crypto currence. Unaeza ukajinunulia coins zako za kiasi kadhaa, baada ya muda unakuja kushangaaa bei imeshuti ukaziuza. Bei ikishuka, unanyuti nazo hadi soko lije kuchangamka tena.
 
Inasikitisha mno mkuu.
 
Huu uzi haujatendewa haki kukata kiu ya wengi, hadi hapa hakuna anayetoa ushuhuda wa kufanikiwa.... mi nilishauriwa nisimwambie mtu hivyo nitazingatia hilo kulinda uaminifu wangu.
Mkuu tupe testimony acha ubinafsi...Jua kuwa ukitoa ushuhuda dhahiri utatutoa tongotongo wengi humu.
 
njoo oriflame madam kampuni ya urembo asilia unajiungakwa 10,000 elfu kumi unaamua mwenyewe kama umejiunga kwa biashara au matumiz binafsi kampuni yetu inashika nafasi ya 2 kwa ubora wa bidhaa dunian.its made from sweden,inspired by natural of beauty
Oriflame haina wizi aise me nimejiunga kwa matumizi binafsi na familia. It's great.
 
hahahaha huyu muitaliano Carlo Ponzi aliwalamba wengi sana.!!
 
Huku mwanza wanjiunga kwa dollar 2200 sawa na milion 5 ,hyo milion tano unachagua bidhaa moja lkn ili ww upate hela wanakuambia uwe na partners share yaani utafute watu ili utengeneze chain sasa najiuliza kama ww masikini umejiunga nao utaenda kutafuta wapi wa kutoa milion 5 wakti na ww marafiki zako ni walewale wenye kipato kama cha kwako
Kuna msela moja hapa tunamsubiria apige hela nitawaletea mrejesho,alijiunga january sasa anasubiria mwezi wa 6
 
Mimi nimefanikiwa mkuu! Nilihudhuria session ya kwanza ya Qnet, kwa sababu tu jamaa aliniambia njoo utakuja kuona huku.
Mafanikio niliyopata ni kuwa mbio nilizotoka hapo ziliniwezesha ku qualify kwa olympic
Huwezi kufanikiwa wakti ulihudhuria session 1 hapo kuna hadi session 4 ndipo unajiunga nao acha uhongo ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…