Pyramid schemes, ni za K’ Sana.
Tatizo, wale wanaokuletea business, wanafanya juu chini ili waweze kukulaghai, ujiunge. Na ukisha jiunga, you are in for it, I mean unakuwa umeshaliwa bila ya wewe kujijua.
Wazungu wanasema “Pyramid scheme is whereby a person is fooled and trained to fool others so as to earn unreliable money expected to be earned from the double fooled ones who are also known as newbies”
Kwa maoni yangu, bora hata biashara ya Crypto currence. Unaeza ukajinunulia coins zako za kiasi kadhaa, baada ya muda unakuja kushangaaa bei imeshuti ukaziuza. Bei ikishuka, unanyuti nazo hadi soko lije kuchangamka tena.