Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

Mimi nimefanikiwa mkuu! Nilihudhuria session ya kwanza ya Qnet, kwa sababu tu jamaa aliniambia njoo utakuja kuona huku.
Mafanikio niliyopata ni kuwa mbio nilizotoka hapo ziliniwezesha ku qualify kwa olympic
Hhhhhahaahaha
 
Huku mwanza wanjiunga kwa dollar 2200 sawa na milion 5 ,hyo milion tano unachagua bidhaa moja lkn ili ww upate hela wanakuambia uwe na partners share yaani utafute watu ili utengeneze chain sasa najiuliza kama ww masikini umejiunga nao utaenda kutafuta wapi wa kutoa milion 5 wakti na ww marafiki zako ni walewale wenye kipato kama cha kwako
Kuna msela moja hapa tunamsubiria apige hela nitawaletea mrejesho,alijiunga january sasa anasubiria mwezi wa 6
Huyo jama yako mpe tu pole..Msisitize amwachie Mungu tu.
 
Oooh Jeief itabaki kuwa juu, I was about kuingizwa kingi na rafiki yangu mfilipino tulikutana humu mitandaoni akaanza kunipa sound hz ananirushia watu wa Uganda matajiri waliotoka thro AIM global [emoji23] [emoji23] picha linaanza wakanialika semina kule mikocheni nikaenda kuona watachozungumza aise wako vzur kwenye ushawishi yani wale madogo ma motivation speaker sijui walisomea wapi unaweza acha kazi ukaanze biashara ile ,wamepiga suti wako kisharobalo unaweza sema pesa iko hapa [emoji23] [emoji23] ila nilipoangalia type ya washiriki kuna kitu kikagonga kichwani yani wameweka mapandikizi wa kushangilia na kutoa ushuhuda nikajua this is another Deci.
Wkt unakuja dar stand ya ma-bus ya mkoani uliikuta iko maeneo gani mkuu?
 
Kuna mmoja wa Uganda alinitumia friend request FB nilipoaccept chini ya Dk moja naona txt messenger akaanza txt za kawaida kusalimiana ghafla akaja na huu mzigo

Now i want you to go to the offices of Alliance in motion Global in TZ located on number 477 Mwai Kibaki Road Mikocheni, Infront of KFC Restaurant, Daressalaam and meet one of the Country Manager called Mr Edmund Rula this is his number he is a filipino +255784025630 ok tell him that Emesu Justine from Uganda has sent me to you so that you help me to attand a program called Opportunity Presentation Plan(OPP) which starts at around 10:30am ok after that i want to register you names under my names Justine Emesu ID Number UG 153796 and we start to make alot of money online and offline ok remember it is all about trust ok i am doing Alliance in motion Global it pays up to 5480 dollars everyday ok you can check on our website www.allianceinmotion.com for more information ok.

Sikumjibu mpk leo
Ungemjibu tu kundu yako.
 
Wakuu,
Mwishoni mwa mwaka jana Mdogo wangu (Mwanafunzi wa chuo Kikuu Ardhi) alinitumia ujumbe Uliosomeka " Bruv! Nimepata platform ya kupiga pesa, Sure am telling you bruv am gonna be a great millionaire in just few coming days". Nikamuuliza, "Vipi umepata dili la kuwa Contena?(kwa maana ya Msafirishaji wa madawa ya kulevya)" .......Akanijibu "Bruv i just need you to lend me 560k Tshs nimepata nafasi ya kuwa milionea kwa kutengeneza pesa na Kampuni moja ya Kifilipino inaitwa Alliance In Motion Global after one year hata wewe nitakuwa nakupumulia kisogoni". I was shocked kivipi laki tano na sitini izae mamiloni ndani ya mwaka mmoja!! Nilimuuliza dogo iwapo amefanya utafiti wa kutosha juu ya hiyo anayooita "platform" na kunijibu kuwa ameshafanya na anawajua watu wengi waliotusua kupitia hiyo Alliance.

Binafsi nampenda sana mdogo wangu, Sikutaka afikirie kuwa namnyima nafasi ya kutekeleza,adhma yake (Japo nilikuwa na wasiwasi) niliamua Kumtumia Sh. Laki 7 ili akifanya hayo mambo yake abaki na balance ya kutumia kwa muda (ili tusisumbuane tena).....Now ni mwezi wa 6 huu unaelekea wa 7 tangu ajiunge sioni mabadiliko yoyote, mara ananiambia "Bruv, Haya mambo hayataki haraka pesa ipo inakuja". Mara, "oh! natengeneza Pair ya watu wangu ili nianze kulipwa".....Kuanzia hapo nikajua tu kuwa mdogo wangu alipotea njia kwa kufuata mkumbo na kukubali kuingizwa mkenge coz mpaka sasa hazipiti wiki mbili bila kuniomba pesa za,matumizi.

Siku moja tena ya Mwezi February kuna dada alinifuata ofisini akataka tuongee ili anishirikishe busness yao alijitambulisha kwa A.k.A ya Cherry...nilimpomkubalia akaniambia kuwa anafanya kazi na kampuni ya QNET na kuna mtu alim'direct kwangu (alisita kumtaja) ndipo akaanza kutoa "Likitabu" lake lina picha za simu, saa, mikufu nk. Kwa ufupi tu ni kwamba alinieleza kuwa kwa kiasi cha kuanzia dola 2000 kwa maana ya Shilingi milioni tano pekee naweza kununua bidhaa moja kama vile saa au mkufu na nikishirikisha wenzangu wengine nitaanza kulipwa pesa...Niliposikia hivyo nilimwangalia yule dada nikamwambia kwa ufupi ".Sista nipo busy sana kwa sasa na pia siwezi kufanya hiyo biashara yako am so sorry".aliondoka akiwa na mfadhaiko usoni mimi sikujali coz Niligundua kuwa hawana tofauti na wale Alliance waliomtapeli mdogo wangu miezi kadhaa iliyopita.

Nyie watu Wa Hayo makampuni tajwa hapo Juu na ninyi mliofanikiwa kupitia haya makampuni (kama mpo humu) hebu jitokezeni mtujuze mlitumia njia gani..otherwise i declare you kama Matapeli mliofumbiwa macho na Serikali.

Sio kila network marketing ni ya uwongo coz mm kunamtu namfahamu yupo forever living alikuwa hana gar wala hela ila now anagari na nyumba ila yupo kwenye Hiyo busness 10yrs now coz ts all about finding a customers wanunue ile product ulipwe percentage yako inaingia bank mm nikikuwa nina mindset kama zetu ila mm nimeona kwa macho yangu watu waliofanikiwa kupitia hiyo forver living ukiwa mvivu miez miwil mingi unafell unaona ningumu unaishia njian ila ukikaza kwel mwsho wa siku lazma unfanikiwe coz hakuna mtu anaeshika hela zako na pia ukishindwa hela yako inarud kwakupewa wateja wanunue hizo product utakazopewa
 
Kwa taarifa yako hizo Network Marketing zinawafaidisha Wanaojiunga Mwanzoni (watangulizi kama huyo rafiki yako) ili wawe role models kwa wengine wanaotaka kujiunga....Hawa wanaokuja kujiunga baadaye ndio hupigwa mpaka huchakaa Na pia Unakuwa umeneemesha Pyramid ya Huyo wa juu yako...Usitudanganye!!!
 
Kwahyo hilo gar na nyumba kaipataje kama sio kuwork hard kufikia alipofikia coz mm nimejionea kwa macho yangu na pia kanunua nyumba kwenye apparment Na huwa anasafiri nje kupitia hiyo hiyo busness ni ndugu yangu namfahamu sio kwamba nimeskia na pia nikashawishika kujiunga kwel nikiuza percentage yangu inaingia bank sasa huo uwongo unakuja vipi
 
Do u know the meaning of role models? Huyo ndugu yako ana bahati ya kuchangamkia fursa mapema ndio maana kafanikiwa na hiyo kampuni imefanya hivyo ili kuwavutia wengine..So hao wanaokuja chini yake ni loosers tu!! Amka!!
 
Good morning!!(changa la macho la kwanza)
Ukipigwa hiyo salamu unawehushwa kwanza jeshini tunasema wiki sita za kutolewa uraia kuingizwa jeshini pili unapigwa speech kali wakimrefer Bill Gates na kitabi cha poor dad rich dad cha kiyosaki cjui ukimalizwa hapo unapewa mda uje presentation ya pili hiyo ucipoenda hata home kwako watakutimbia utaonyeshwa kitabu kina saa mikufu na vifaa vingne vya nyumbani unaambiwa bei ya chini ni dola 2000 cjui saa ya golden rose limited edisheni(edition) ***** zao ukiwa naela ukiweka umeumia ukisema sina unapigwa sound uza hata kiwanja within one year utapiga pesa ndefu unaweza nunua nyumba posta kundindiku so usijali hako kakiwanja mda huo washaidharaulisha ajira yako yaan unalipwa laki saba kazi ilivyongumu ile achana nayo anatoa mfano wa.kisenge nlikuwa mhasibu anakitajia likampuni nlikuwa nalipwa milioni 2 ila nimeacha kazi baada ya hapa qnet kufanya vzr maisha yangu duuuh usipoingia kama mm ww ni Genius
Hakuna u-genius wowote hapa, Ukiwaangalia hao wanaokushawishi unajua kuna kitu, haiwezekani hata kidogo mtu apate USD 6,400 kwa wiki halafu kiatu chake hakijaona kiwi miezi miwili kwa kukadiria, pia ofisi ya ovyo tu wantumia viti vya plastic, Kiatu cha yule trainer sole yake imechoka kweli, inabidi ujiongeze wewe mwenyewe wala huhitaji akili ya kidato cha nne ya darasa la saba inatosha tu!
 
Pole sana Mr Foreva Livingi😂😂
Nilipambanaga nikafika Level ya Supervisor, maana unaanza kama Distributor then Assistant Supervisor, then Supervisor then Assistant manager then manager na kuendelea.
Nakumbuka nilikuwa natoka Arusha naenda Dsm kwenye BOM (Business Opportunity Meeting) kwa gharama zangu yaani mpaka zile Bonus Recarp za mwezi zikawa hazitoshi inabidi mpaka Boom lihusike🙄😡😡
 
Hakuna u-genius wowote hapa, Ukiwaangalia hao wanaokushawishi unajua kuna kitu, haiwezekani hata kidogo mtu apate USD 6,400 kwa wiki halafu kiatu chake hakijaona kiwi miezi miwili kwa kukadiria, pia ofisi ya ovyo tu wantumia viti vya plastic, Kiatu cha yule trainer sole yake imechoka kweli, inabidi ujiongeze wewe mwenyewe wala huhitaji akili ya kidato cha nne ya darasa la saba inatosha tu!
Wanaishi Maisha ya kuigiza wakati wana hali ngumu mifukoni na tumboni
 
Nilipambanaga nikafika Level ya Supervisor, maana unaanza na Assistant Supervisor, then Supervisor then Assistant manager then manager na kuendelea.
Nakumbuka nilikuwa natoka Arusha naenda Dsm kwenye BOM (Business Opportunity Meeting) kwa gharama zangu yaani mpaka zile Bonus Recarp za mwezi zikawa hazitoshi inabidi mpaka Boom lihusike🙄😡😡
😂😂😂😂😂
 
QNet, its a chain where a person is fooled to join in the platform and then he/she is trained to fool others to earn money.
Kwa taarifa tu, this is a scam, hawa jamaa wanaishi kwa madeni siku zote, problem ni kwamba wakati unashawishiwa ujiunge kwa hiyo QNET kwa mfano, kuna vitu hauambiwi mpaka uwe umesha join, wakati huo umeshainvest usd 2000 yako, hivyo huwezi toka, Qnet is like a trap! Once your in you can not get out till you earn back your return pn investment which by any means you wont achieve easly kama wanavyokwambia.hivyo na wewe unafundishwa jinsi ya kuwa fool wengine wa join juu yako ile upate return yako, the chain goes on, by the way there is no like physical products traded in Qnet, ikishaingia tu utaambiwa forget about the product and concentrate on the business.Aisee mambo ni mengi mda mchache. Wengi wameuza mpaka mashamba yako leo wanajuta lakini hawawez sema.

This is something very new to me ... Mbona inatisha? I did not know this ... Duh, si mwisho unaweza ishia jela?!
 
Back
Top Bottom