Mliofanya interview DUCE kuna aliyepata matokeo?

Chief Ortambo Ikumenye

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
247
Reaction score
503
Tulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote.

Sasa hatujui kama tumefaulu au tumefeli na siku ya oral pia ni leo.

Nilichoamua asubuhi hii ni kwenda moja kwa moja Duce nikapate mustakabali hukohuko.

Ama kuna wa Duce aliyepata matokeo yake?
 
Oral inafanyikia wapi?
 
Tulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote...
Nimeona matokeo yaliyofanyika jana trh 14 yashawekwa katika website yao kule sasa wewe sijui ni kada ipi.
 
Tulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote.

Sasa hatujui kama tumefaulu au tumefeli na siku ya oral pia ni leo.

Nilichoamua asubuhi hii ni kwenda moja kwa moja Duce nikapate mustakabali hukohuko.

Ama kuna wa Duce aliyepata matokeo yake?
Share maswali mliyoyakuta ya written watu wapate experience
 
Back
Top Bottom