Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 247
- 503
Hata mimi sijapata. Vipi umeshafika , je wanasemaje?Tulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote...
Hapo inashangaza kweli hata kama watu wamefeli si watoe matokeo wajue kuna shida gani?Hata mimi sijapata. Vipi umeshafika , je wanasemaje?
Oral inafanyikia wapi?Tulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote.
Sasa hatujui kama tumefaulu au tumefeli na siku ya oral pia ni leo.
Nilichoamua asubuhi hii ni kwenda moja kwa moja Duce nikapate mustakabali hukohuko.
Ama kuna wa Duce aliyepata matokeo yake?
Nimeona matokeo yaliyofanyika jana trh 14 yashawekwa katika website yao kule sasa wewe sijui ni kada ipi.Tulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote...
Tunaomba hiyo web yao pleaseNimeona matokeo yaliyofanyika jana trh 14 yashawekwa katika website yao kule sasa wewe sijui ni kada ipi.
Web ipi ya DUCE AU sekretarieti ya ajira?Nimeona matokeo yaliyofanyika jana trh 14 yashawekwa katika website yao kule sasa wewe sijui ni kada ipi.
Ya secretariat ya ajira nakusudia. Ikiwa kama sivyo ulivyokusudia sorry mkuuWeb ipi ya DUCE AU sekretarieti ya ajira?
umeangalia saa ngapi mkuu.Ya secretariat ya ajira nakusudia. Ikiwa kama sivyo ulivyokusudia sorry mkuu
Hata mimi sijapata. Vipi umeshafika
Duce pala pale mkuuOral inafanyikia wapi?
Una uhakika uliyaona matokeo ya Duce?Nimeona matokeo yaliyofanyika jana trh 14 yashawekwa katika website yao kule sasa wewe sijui ni kada ipi.
Duh.. ngoja tusubir... ila waliahidi yangetoka jana saa 9Sometimes it takes time
Watu 3000 na wanataka watu 6
hii nchi ngumu sana
Oral inafanyika lini?Duh.. ngoja tusubir... ila waliahidi yangetoka jana saa 9
Wameweka tayari mkeka upo website ya duceSubira yavuta kheri...
Halafu oral ishafanyika au bado?Wameweka tayari mkeka upo website ya duce
Share maswali mliyoyakuta ya written watu wapate experienceTulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote.
Sasa hatujui kama tumefaulu au tumefeli na siku ya oral pia ni leo.
Nilichoamua asubuhi hii ni kwenda moja kwa moja Duce nikapate mustakabali hukohuko.
Ama kuna wa Duce aliyepata matokeo yake?