ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Anha so ni same kama huku tu mijini wapo aina zote japo mostly wa kisasa...ila vijijini ni nadra kukuta wa kisasaKisasa.
Kienyeji in country areas
Wanakula kuku wa kizungu.Kuku akiwa kwa wazungu na yeye ni mzungu.nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli.nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna hawahawa broiler.na je ulaya huko wanafuga pia wa kienyeji kama hawa wa kwetu.?
Yeah ndo msingi wa swali langu.je kuku wa kienyeji bado wanao?kuhusu ngombe na uhakika hawana wa asiliUlaya na Marekani bado kuna kuku wa kienyeji??
Nani alikuambia kuku wa kienyeji ndiye bora??Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora
Ila wewe ni wa kienyejiSio kienyeji halisi kwa maana wanawalisha madawa sana na wao ndio wanzilishi wa kuku za kisasa so vitu vingi vyao sio original . Why unauliza si ugoogle
Asije akatueleza kwa sababu wana mifupa migumu.🤣🤣🤣Nani alikuambia kuku wa kienyeji ndiye bora??
Sasa wewe sweety unabisha nn wakati mm ndie ninaefunga wangu hapa shambani kwangu.Sio kienyeji halisi kwa maana wanawalisha madawa sana na wao ndio wanzilishi wa kuku za kisasa so vitu vingi vyao sio original . Why unauliza si ugoogle
Hilo shamba lipo wapi?Afrika au Ulaya/Amerika?Sasa wewe sweety unabisha nn wakati mm ndie ninaefunga wangu hapa shambani kwangu.
Wa kienyeji wapo wengi tu.Kuku wa kienyeji wapo..Kuna maduka ya Waafrika na hata Wachina. Sikumbuki mara ya mwisho kula kuku wa kizungu...
Bata bukiniTunakula mabata mzinga
Na hao inabidi muwaite bata wa kizungu kama viazi-ulaya na kuku wa kizungu.Tunakula mabata mzinga