Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hata hawa kuku "Boschveld Free Range" unaofikiri ni wa kienyeji walikuwa wa kisasa enzi zao.Yeah ndo msingi wa swali langu.je kuku wa kienyeji bado wanao?kuhusu ngombe na uhakika hawana wa asili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hawa kuku "Boschveld Free Range" unaofikiri ni wa kienyeji walikuwa wa kisasa enzi zao.Yeah ndo msingi wa swali langu.je kuku wa kienyeji bado wanao?kuhusu ngombe na uhakika hawana wa asili
wapo kuku organically gazed. bei inapaa.
Kati kati wakisasa na wakienyejiIla wewe ni wa kienyeji
Hebu njoo nithibitisheKati kati wakisasa na wakienyeji
Mostly wa kisasa, hao wana soko na wanalika sana. Haimaanishi wa kienyeji hawapo, wapo ila rural areasNachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli.
Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna hawahawa broiler na je ulaya huko wanafuga pia wa kienyeji kama hawa wa kwetu.?
UnahelaaHebu njoo nithibitishe
Shingapi unataka?Unahelaa
Yaaah wale jamaa uwa Kuna masoko ya wakulima ambavyo kutoka mashambani wanaleta bidhaa mjini na kuuzwa eidha Kwa wanaopeleka maduka makubwa au watu wa kawaida Kisha wao wanarudi zao mashambaniWapo wote...
Ukitaka kuku kama wa kwa babu Kawetele, unazama Farmer's market...
Kuku wa kienyeji wapo. Mimi nafuga kuku ,nafatilia pages za wazungu nyingi tu wanafuga kuku wa kienyeji kama ambavyo tunafuga sisiUlaya na Marekani bado kuna kuku wa kienyeji??
Ninaishi ulaya sasa karibia miaka 9. Wazungu wanakula broiler kwa wingi. Gharama za ufugaji wa kuku wa kienyeji au organic ni kubwa mno hivyo kupelekea bei kuwa kubwa. Inamaana wenye uwezo wa kununua hao kuku wa kienyeji siyo wengi.Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli.
Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna hawahawa broiler na je ulaya huko wanafuga pia wa kienyeji kama hawa wa kwetu.?
Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli.
Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna hawahawa broiler na je ulaya huko wanafuga pia wa kienyeji kama hawa wa kwetu.?