Mliojenga shikeni Maua yenu!

Mliojenga shikeni Maua yenu!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
Habari wanajf kwa ujumla,wakubwa shikamoo,wenzangu na mie mambo vipi poa,wadogo zangu,marahaba.Nimekuwa nikifuatilia sana mambo mbalimbali yanayohusu ujenzi na ushauri unaotolew kwa kweli!Nimeamini ndo maana wenye nyumba wanakuwa wakali!Ukiwacheleweshea kodi yao.Maana uhalisi wa makisio na yaliyopo field ni tofauti kwa sana.Matofali sawa,cementi sawa,mchanga sawa,lakini unakutana na gharama zingine ambazo hata hukuwaza kabisa!Kama vile kungoa visiki,mara wa kumwagilia,mara sururu,kuchimba msingi,ndoo cha kuchotea maji,kuchimba vyoo,kuweka mbao za kuweka renta na za kusimania na makorokoro kibao!Nawapa maua yenu wenye nyumba,punguzeni sasa kodi.
 
Asante sana. Binafsi nimepokea maua kwa moyo mkunjufu sana. Unaweza ukakadiriwa nyumba hadi kukamilika itakugharimu Tsh 60m, lakini siku ya mwisho ikasimamia Tsh 80m.

Mwanzoni nilikuwa naandika gharama zote ninazotumia. Kila nikinunua kitu, naandika. Baadae nikaona ni ujinga huu kuandika andika. Maana unakuta kuna matumizi mengine unayasahau. Muda wote unakuwa kama karani. Nikajisemea moyoni, kwa kuwa ninausimamia ujenzi mimi mwenyewe hakuna haja ya kuandika. Halafu je, kwani nikiandika..nitarejeshewa pesa zangu?

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru mkuu kwa kupokea maua pia kwa ushuhuda!Unaandika mpaka unachoka hadi matumizi ya maji ya kunywa uandike!😁😁😁
 
Pesa ya emergency lazima na wanashauri pia ukipata mtu makini kuna nyumba ya kawaida na gorofa ... Kweny gorofa unaweza kuweka pesa ya emergency hata zaidi ya mil 30 kwa wale waonfanya ujenzi wa moja kwa moja ili kumaliza.

Mara nyingi inaweza isitumike kabisa.
 
na wengi wanaogambania huwa ni watu wenye roho za umaskini,,,unakuta mdogo wa marehemu anagombania nyumba na mjane ambaye ameachwa na watoto
Ukisikia watu wanagombania mali za urithi basi jua ni nyumba hiyo [emoji23]
 
Niko kwenye marekebisho ya jengo la ofisi yangu,mwanzo nilitenga bajeti ya milioni 5 iwe ya kodi, marekebisho,fenicha na vifaa kazi ila nilipoingia field nakuta 7+ karibu na 8 itatumika dah kichwa kimepata moto.

HESHIMA KWENU MLIOJENGA.
 
Back
Top Bottom