Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
- Thread starter
- #41
Inabidi uuandae mwili kwa mazoezi,maana huo uchovu!Utashangaa mifuko imeyeyuka,fundi maiko wachache ni noma.Binafsi huwa naona ukiwa likizo/mapumziko ndio muda muafaka wa kufanya ujenzi. Kazi zingine nyepesi unazifanya mwenyewe.