Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Hatuyataki mauamavi tunataka mengine!nilikua mwanafunz shule ya msingi, kuna yale maua yalikua yanajulikana kama MAUA MAVI.
Mkuu, na nyie wapangaji pokeeni haya maua tafadhali.
Sasa hayo mengine si ndio umetupa sisi wenye nyumba??Hatuyataki mauamavi tunataka mengine!
Sawa mkuu!Sasa hayo mengine si ndio umetupa sisi wenye nyumba??
Asante sana. Binafsi nimepokea maua kwa moyo mkunjufu sana. Unaweza ukakadiriwa nyumba hadi kukamilika itakugharimu Tsh 60m, lakini siku ya mwisho ikasimamia Tsh 80m.Habari wanajf kwa ujumla,wakubwa shikamoo,wenzangu na mie mambo vipi poa,wadogo zangu,marahaba.Nimekuwa nikifuatilia sana mambo mbalimbali yanayohusu ujenzi na ushauri unaotolew kwa kweli!Nimeamini ndo maana wenye nyumba wanakuwa wakali!Ukiwacheleweshea kodi yao.Maana uhalisi wa makisio na yaliyopo field ni tofauti kwa sana.Matofali sawa,cementi sawa,mchanga sawa,lakini unakutana na gharama zingine ambazo hata hukuwaza kabisa!Kama vile kungoa visiki,mara wa kumwagilia,mara sururu,kuchimba msingi,ndoo cha kuchotea maji,kuchimba vyoo,kuweka mbao za kuweka renta na za kusimania na makorokoro kibao!Nawapa maua yenu wenye nyumba,punguzeni sasa kodi.
Nashukuru mkuu kwa kupokea maua pia kwa ushuhuda!Unaandika mpaka unachoka hadi matumizi ya maji ya kunywa uandike!πππAsante sana. Binafsi nimepokea maua kwa moyo mkunjufu sana. Unaweza ukakadiriwa nyumba hadi kukamilika itakugharimu Tsh 60m, lakini siku ya mwisho ikasimamia Tsh 80m.
Mwanzoni nilikuwa naandika gharama zote ninazotumia. Kila nikinunua kitu, naandika. Baadae nikaona ni ujinga huu kuandika andika. Maana unakuta kuna matumizi mengine unayasahau. Muda wote unakuwa kama karani. Nikajisemea moyoni, kwa kuwa ninausimamia ujenzi mimi mwenyewe hakuna haja ya kuandika. Halafu je, kwani nikiandika..nitarejeshewa pesa zangu?
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Ukisikia watu wanagombania mali za urithi basi jua ni nyumba hiyo [emoji23]
Yaani hubaki hata hela ya kuchekea!Kabisa mkuu sio kazi rahisi aisee me nipo kwenye hatua ya finishing ni hatarii