Mliojenga shikeni Maua yenu!

Hongera sana kwa Vijana wenzetu mliothubutu kumiliki hata Viwanja maeneo lulu kama Dodoma, Dar, Arusha na Mwanza. Ni mwanzo mzuri pambaneni mjenge sasa. Nyumba ni mwanzo mzuri wa kijana mwenye maono na akili ya kuwa na familia bora. Kazi iendelee
 
Duuh!sawa mkuu.
 
Nyumba ukiona imeisha kabisa na rangi na kila kitu,fahamu kuwa huyo mtu zimemtoka......
 
Hongera sana kwa Vijana wenzetu mliothubutu kumiliki hata Viwanja maeneo lulu kama Dodoma, Dar, Arusha na Mwanza. Ni mwanzo mzuri pambaneni mjenge sasa. Nyumba ni mwanzo mzuri wa kijana mwenye maono na akili ya kuwa na familia bora. Kazi iendelee
Ushauri mzuri na wewe pambana
 
Juzi hapa mzee wangu alikadiria kujenga fremu mbili za maduka kwa mil4, cha ajabu hadi anamaliza inagonga mil 10 kasoro
Kuna gharama zisizotajwa mara nyingi,utasikia mbao ,mirunda nk!
 
Binafsi nayapokea maua yangu. Kujenga, hasa nyumba ya kushi (wastage of money) si kazi ndogo, maana unawekeza milioni 80 ama 100 kwa nyumba ambayo haikuingizii chochote. Kikubwa ninachoshauri ni kuekeza katika nyuma za biashara (rest house, hoteli, godowns au fremu za maduka).
 
Uwe na pakuishi pako!k
Hakika wanastahili sifa
Kweli kabisa!
 
Kujenga nyumba sio mchezo hasa kwa mtu mwenye kipato cha kawaida. Nimejionea mwenye katika nyumba mbili nilizosimamia saa nyingine unaweza kuhisi unaibiwa kumbe ndio matumizi.
 
Ila kuibiwa kupo sana
Yaani hakukisekani hata ukiwepo hawa fundi maiko ni wajanja kinoma!Leo hii nimepigwa mfuko wa cement nikiwa site na fundi maiko m!Anadai kachanganya mchanga kumbe kapitisha kwa nyuma Maua mnastahili wenye nyumba.Ndo maana za urithi ni tamu kuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…