Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
- Thread starter
-
- #41
Inabidi uuandae mwili kwa mazoezi,maana huo uchovu!Utashangaa mifuko imeyeyuka,fundi maiko wachache ni noma.Binafsi huwa naona ukiwa likizo/mapumziko ndio muda muafaka wa kufanya ujenzi. Kazi zingine nyepesi unazifanya mwenyewe.
😂😂😂Yaani hakukisekani hata ukiwepo hawa fundi maiko ni wajanja kinoma!Leo hii nimepigwa mfuko wa cement nikiwa site na fundi maiko m!Anadai kachanganya mchanga kumbe kapitisha kwa nyuma Maua mnastahili wenye nyumba.Ndo maana za urithi ni tamu kuuza.
Mbona mpaka hapo unaamia tuWazee Mimi nimejichanganya nimejenga nyumba Kali nimeezeka bati Kali nimeweka grill nikachimba shimo la choo nikalifunika Hela zimeisha hapa Nina kende tu na inatakiwa nihamie.
Hujajichanganya mkuu!kama ni mtu usie na makuu hamia hivyo hivyo,kwenye madirisha weka magunia hadi chooni,kitaeleweka mbele kwa mbele.Wazee Mimi nimejichanganya nimejenga nyumba Kali nimeezeka bati Kali nimeweka grill nikachimba shimo la choo nikalifunika Hela zimeisha hapa Nina kende tu na inatakiwa nihamie.
Mkuu unahamiaje milago Hamna, ipo milango ya grill tu miwili inatakiwa na ya mbao halafu nyumba Ina milango 13, fremu zake, hata twende kwenye madirsha 14 yote yapigwe wavu na karatasi nzito maana ukinambia vioo na madirsha yaiivyo makubwa ntapata tumbo la kuhara hapo sijaongelea lipu, kupiga jamvi mabomba vyooni huko maana Kuna shimo tu chooni Hamna sink.Mbona mpaka hapo unaamia tu
Hamia tuu mkuu,hakikisha unaenda hapo tumbo liko sawa😁😁Mkuu unahamiaje milago Hamna, ipo milango ya grill tu miwili inatakiwa na ya mbao halafu nyumba Ina milango 13, fremu zake, hata twende kwenye madirsha 14 yote yapigwe wavu na karatasi nzito maana ukinambia vioo na madirsha yaiivyo makubwa ntapata tumbo la kuhara hapo sijaongelea lipu, kupiga jamvi mabomba vyooni huko maana Kuna shimo tu chooni Hamna sink.
Ivan Stepanov wa blacklistnilipokua mwanafunz shule ya msingi, kuna yale maua yalikua yanajulikana kama MAUA MAVI.
Mkuu, na nyie wapangaji pokeeni haya maua tafadhali.
Kuna mmoja nilimkamata kaficha nondo mbili vichakani aisee halafu anasema sio yeye...Yaani hakukisekani hata ukiwepo hawa fundi maiko ni wajanja kinoma!Leo hii nimepigwa mfuko wa cement nikiwa site na fundi maiko m!Anadai kachanganya mchanga kumbe kapitisha kwa nyuma Maua mnastahili wenye nyumba.Ndo maana za urithi ni tamu kuuza.
Usiwe mvivu hivyo ukiandika ndiyo utajua gharama halisi za ujenzi.Halafu je, kwani nikiandika..nitarejeshewa pesa zangu?
Wewe sasa ndio umenishtukia.Ivan Stepanov wa blacklist
Mwakani nitaezua makuti, niezeke mabati rejected.Ongeza juhudi mkuu!
Mwamba alimuweza Red, pamoja na Townsend directiveWewe sasa ndio umenishtukia.
"Our friend in East"
Kumpa kipondo kazi itachelewa!Kuna mmoja nilimkamata kaficha nondo mbili vichakani aisee halafu anasema sio yeye...
Itakua safi ni nyumba tuu,mradi usingizi na kuepukana na kodi.Mwakani nitaezua makuti, niezeke mabati rejected.
Inapendeza kuandika mengine unasahau!Usiwe mvivu hivyo ukiandika ndiyo utajua gharama halisi za ujenzi.
Huwa nashangaa humu watu wanapoambiana ati milioni 20 zinajenga nyumba.
Mimi nina utaratibu wa kuandika kila gharama za ujenzi ninazolipia kila siku.
Ahsante kwa kunipa moyo mkuu.Itakua safi ni nyumba tuu,mradi usingizi na kuepukana na kodi.