kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Uturuki wengi ni muslim zingatia!! Kuna nchi wao majanga ni kilasiku pia chakula,mavazi na makazi ni mtihani na wazee wanateseka mmmno lkn hawasaidiwi!!! Poor studip little leaders...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa logic yako basi maskini hawatakiwi kutoa sadaka kwa Mungu bali kila siku wanatakiwa wapewe wao tu! Si ndio?Mwisho wa siku mijadala kama hii arguments zake huwa ni philosophical.
Naweza kuona mantiki ya hoja yako but $1 million dollar kwa Turkey aina impact kwenye kutatua changamoto zao na wao wenyewe wanao uwezo.
Si ajabu ata huyo balozi akaambiwa aiache hapo hapo itumike kwa shughuli za kuendeshea ubalozi tu.
Kwa upande wa watanzania huo msaada unazua maswali ya ‘conflicting duties’ (deontological ethics).
Kinachoangaliwa hapo kipi ni hatua sahihi given choices; mfano je ni haki serikali kuipatia $1 million uturuki kwa sasa ambayo tayari imefikisha $50 billion+ kwenye kukabiliana na maafa na serikali yao ina uwezo wa kumudu $82 billion estimated cost to rebuild.
Au? hela hiyo $1 million itumike ata kama kuwatua wamama 100 safari ya kilometer 10 kwenda na kurudi kufuata maji tu; ukizangatia anaetoa hiyo hela ni kiongozi wa hao maskini na yeye maisha yake sio ya shida kama watu anaowaongoza.
Ndio swala lilipo, it’s not rocket science logic kuona busara ni Tanzania kutoa ‘moral support’ ya maneno tu inatosha, kuliko mchango wa hela ambao auna impact wowote kwao na kwa kufanya ivyo ni kama dharau kwa shida za maskini tuliojaa Tanzania.
Kuna maskini unaemjua wewe anatoa sadaka; halafu yeye mwenyewe akalala njaa.Kwa logic yako basi maskini hawatakiwi kutoa sadaka kwa Mungu bali kila siku wanatakiwa wapewe wao tu! Si ndio?
Acha roho ya kishetani hiyo, roho ya kwanini,roho ya unyimi, roho ya umimi...! Hili ni suala la kiubinadamu, kusaidia wahanga wa maafa mbalimbali! Kitendo cha maskini kumpa hata shilingi elfu kumi tajiri aliyepata maafa kinaonesha ni jinsi gani ana moyo safi, moyo wa kiubinadamu, moyo wa kusaidia wengine regardless of their financial status. Unapotoa ndipo unapoongezewa!!!
Kwahiyo tanzania hizo bilioni 2 ilizotoa kuwapa waturuki ndio zimefanya tulale na njaa?? Lini umelala na njaa toka hizo bilioni 2 zilipotolewa?Kuna maskini unaemjua wewe anatoa sadaka; halafu yeye mwenyewe akalala njaa.
Kwahiyo tanzania hizo bilioni 2 ilizotoa kuwapa waturuki ndio zimefanya tulale na njaa?? Lini umelala na njaa toka hizo bilioni 2 zilipotolewa?
Ni watu mnaoishi kwenye dunia yenu na kwenye njoozi nzito kuamka amtaki kila kitu kiko sawa; wakati paa lishaanza kuwaka moto.
Huyo ‘Hakan Yavuz’ ndio main troubleshooter wa WB kwenye madeni. Akitia mguu kwenye nchi chances are kuna forensic investigation ya kufa mtu kwenye mapato, economic indicators, sambamba na DeMPA evaluation.
Kwa lugha nyingine akifika huyo bwana wanadhani nchi ina high defaulting chances kwenye kulipa madeni yake.
Sasa kama hali ipo hivyo serikalini na mnaendelea kujipa moyo mpo vizuri kama Ukraine na kichapo cha Russia; wakati sasa hivi imegeuka testing ground ya silaha zake.
Kwa mantiki hiyo sitegemei uone logic ya concerns zangu kwa sababu right or wrong depends on individual moral stance.
Mwenye shibe, awezi jua struggle za mwenye njaa (wewe upo kwenye shibe) so sioni ukielewa how absurd it is kuisaidia nchi tajiri miezi miwili baada ya maafa na kipindi ambacho wako stable tayari. Wakati wewe una wananchi wana wagonjwa ata gharama za matibabu hawawezi.
You people are just very shallow and live in your own little bubbles
Una majibu mepesi sana.Nani kakwambia kuwa katika hii miezi miwili wapo stable? Nakufananisha na mtoto pindi anapopewa zawadi na baba yake kisha baadae baba yake huyohuyo akaamua amuombe mwanawe ampe kidogo katika kile alichomgawia then mtoto anakataa kutoa katakata.
Huu ndio mfano wa moyp wako jinsi ulivyo...yaani ukimkuta mtu mwenye vogue amepata ajali barabarani huwezi kusimama kumsaidia kwasababu tu wewe kila siku unatembea kwa miguu. Hao waturuki wanaisaidia sana Tanzania...tembea vijijini uone jinsi gani wamejitolea kuwachimbia visima watanzania ili kutatua adha ya maji.
Nimeelewa kwamba wanaotumia mitandao (Zaidi ya million 10) hawapo MTAANI.Hebu ngoja kwanza mkuu, we hadi sasa umenielewa vp?
Hukunielewa, nilichosema ni kwamba asilimia kubwa mambo ya mitandaoni hayatoi picha halisi ya huko mitaani na ndio maana kuna vitu vinafanyika mitandaoni tu ila huko mtaani huvikuti.Nimeelewa kwamba wanaotumia mitandao (Zaidi ya million 10) hawapo MTAANI.
Ila huko MTAANI ndio Kuna watu halisi.
Sasa sijui hao million 10 ikiwemo Mimi tunaishi sayari ipi!!
ni kujiongezea umaskiniHivi nikuulize; Maskini hatakiwi kutoa rambirambi kwenye msiba wa tajiri??