Mliokasirishwa kuhusu Rais Samia kutoa msaada Uturuki hii sio awamu ya Magufuli

Hawa watanzania wa humu mitandaoni ndio wako hivyo na hata hivyo serikali yenyewe haijui inachofanya.
Sio mtandaoni pekee kwani watu wote wenye smartphone hawawezi pitia Jf? Why mtandaoni na mtaani wawe watu tofauti? Au sisi tulio JF tunaishi kwenye server za JF?

By the way waTanzania wengi hatujui tunalotaka, mfano watu walitaka mshahara uongezwe, sasa Mama kaongeza wakamtukana kwamba why anaongeza wakati Kuna mfumuko wa bei? Akiacha matusi akiongeza matusi. No wonder JPM alituburuza kama ng'ombe maana aliona akili zetu Nazo zakipuuzi.
 
Yule shetani alikula hela za rambirambi za wahanga wa tetemeko siwezi msamehe yule shetani.aliwachukia wahaya kwasababu walimzidi sana na wivu kwasababu walimchallenge kwa hoja na usomi wao maana mtaji wa yule kichaa ni watu wasio na elimu

Kimsboy acha ujinga na chuki kwa mwenda zake, wahaya hao hao ndo walikuwa marafiki zake na ndo walishirikiana kutupiga na kutudharau sisi watanzania ok

Magufuli na wahaya walikuwa kitu kimoja, so usitake kujifanya kuwatetea wahaya wakati huo unachuki kwa mwenda zake, wewe unateswa na udini tu hamna kingine bwashee!
 
Sio mtandaoni pekee kwani watu wote wenye smartphone hawawezi pitia Jf? Why mtandaoni na mtaani wawe watu tofauti? Au sisi tulio JF tunaishi kwenye server za JF?

By the way waTanzania wengi hatujui tunalotaka, mfano watu walitaka mshahara uongezwe, sasa Mama kaongeza wakamtukana kwamba why anaongeza wakati Kuna mfumuko wa bei? Akiacha matusi akiongeza matusi. No wonder JPM alituburuza kama ng'ombe maana aliona akili zetu Nazo zakipuuzi.
Sio kila cha huku mitandaoni ndio picha halisi ya huko mitaani, kama humu JF tu utaona kila mtu anajifanya msomi na ana pesa, humu Jf kuna baadhi ya makundi ya watu huwaoni humu.
 
Sio kweli, Mimi binafsi Nina mzee wangu, dada yangu, na kaka yangu humu ingawa sijui tu ID zao. Sasa unataka useme hao wanaishi humu JF ila siwajui in real life? Mfano Mama Samia ana ID humu ila Kuna anayeijua? Why mdhani waliopo humu ni watu feki?

Nachofahamu watu wapo huru zaidi humu kuliko uraiani so wanafunguka kwa uhuru bila hofu. So ungesema waliopo mtaani waoga ila wakishika simu wanakua na confidence ya kukosoa maana anatumia ID feki. Ila watu ni wale wale tu na ndio wanapiga kura ya Siri!!
 
Kuna watu wana makasiriko hadi mambo kama haya!! Sasa kuna ubaya gani kwa nchi kusaidia wahanga wa tetemeko? Hivi tumekuwa wabinafsi kiasi gani? Tunasahau kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe na hayazuiliki kirahisi.

Tunasahau kuwa leo kwao kesho kwetu, tusipojitoa kwa kidogo chetu siku yatatukumba ni nani atatukimbilia? Famasiala nini? Usiombe yakukute.

Mtu analeta hoja za kijinga eti tunatoa msaada wakati vitu vimepanda bei, hizo bilioni 2.3 ndo zinawahenyesha na kuwatoa watu mapovu hivi? Bilioni 2.3 zinaweza vipi kupunguza bei ya unga au vitu kupanda kama sio roho mbaya tu?

Tumezoea kupewapewa tu, na sisi siku moja tukijitoa sio mbaya!! Tatizo bongo wengi hawajui diplomasia ya kiuchumi, Samia sio hayati mwendazake yule ambaye hela za tetemeko rambirambi alikula yeye na genge lake bila aibu. Alikuwa rais wa hovyo sana na hakuwa na hata na chembe ya aibu usoni na moyoni mwake.
Tujikumbushe [emoji1313][emoji1313][emoji1313]: "Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewaomba wakazi wa Kagera walioathirika na tetemeko kufanya jitihada za kujijengea nyumba zao wenyewe kwani michango iliyochangwa na wadau imeelekezwa kwenye taasisi za serikali. Mkuu wa Mkoa amedai kuwa jumla ya fedha zilizochangwa ni zaidi ya Bilioni 5.4 na kusema kuwa zimeelekezwa katika kukarabati miundombinu ya taasisi za Serikali na kuwataka wananchi wanaosubiri msaada wa serikali kusubiri mchango itakayotolewa na wadau walioahidi kuwasaidia waathirika moja kwa moja."

Uturuki wametusaidia mangapi nchi yetu tokea uhuru? Yaani tatizo ni hiko kibilioni 2.5 ndo tunang'aka kiasi hiki angetoa bilioni 100 jee??

Kuna watu hawafurahii utawala na mageuzi aliyoyafanya Rais Samia hususan maridhiano na kurudisha maridhiano na demokrasia iliyokuwa imeporwa na dikteta katili wa awamu ya tano. Hawa Sukumagang ndio wanaopinga kila kitu. Mimi naona kama wamenunishwa na maridhiano kati ya Chadema na Mama, basi wahame nchi.

Nyie ndio wale watoto mnao sifia baba zenu kutoa sadaka kubwa kanisani then home mnavaa nguo matako nje
 
Sometimes ukitaka kujifanya una weza unaweza jikuta umeweza kweli

Hivyo hivyo ukijifanya nimtu wakushindwa shindwa una weza jikuta unakuwa wakushindwa kweli kweli

Pia kibiashara si vibaya niki mnunulia bujibuji kuku mzima ili nipige nae story anipe hakili za kununua ng'ombe mzima

Kwahiyo kilicho fanyika hapo ni hakili za kiutaftaji tu hakili za maisha wasomi wanaita mistakabari ya kesho ya taifa letu

Kwahili nawa pongeza

Sio kila siku boss anakutoa out tuu sometimes unamtoa out una show kidogo unajiweza ili apunguze kukupa vihera vya nyanya badara yake akupe Hera ya kilo nakuendelea

Maisha hakili mingi

WAULIZE USA WANATOA SANA MISAADA JE HAWANA MADENI?

JE HUKO USA HAKUNA MASKINI?

WAKIKUJIBU WARUDI HAPA
 
Uhusiano wa kimataifa una kanuni kubwa ya reciprocity.

Maana yake, rafiki zako wakikusaidia unapopata matatizo, na wewe una wajibu wa kuwasaidia wanapopata matatizo.

Yani ni hivi, huwezi kutegemea kusaidiwa wewe tu kila siku, halafu wenzako wanapata matatizo wewe hutaki kuwasaidia.

Na ukiwasaidia, msaada uwe unaendana na uzito wa tatizo na wenye hadhi ya msaada wa nchi.

Kwa msingi huu, Watanzania wanaopinga msaada waache kuwa small minded.

Tanzania imesaidiwa sana, hela nyingi sana kuliko hizo $1 million.

Ikiwa zamu yetu kusaidia sasa, msione ubahili.
 
Hivi kumbe tumetoa msaada ?!!!!

Mbona mimi kama mdau / mmoja wa wachangiaji sijui ?!!

By the way ni yeye ametoa au sisi tumetoa (sababu there is a difference)...

Ila kuweka mambo sawa hivi vitu vingekuwa na pre-amble (for the lack of a better word)..., yaani ikiwa hivi inakuwa vile sababu hatuchelewi nikipata nafasi nikaamua kumchangia Snoop Dog katika maandalizi ya album yake kwa jina la Tanzania......

Anyway kwa yale mambo ya Scratch my Back I will Scratch yours huenda ika-pay off in the future..., sababu tulivyo wazembe majanga kwetu are around the corner and sooner rather than later tutahitaji msaada.... (Ni kama yale ya Harusi unachanga ili uchangiwe; sio kusaidia penye uhitaji, wala roho nzuri)..., That's the current world we live in....

NB: Where's My Snare...., There's no Snare in my Headphone...., Am Just Cleanin Out my Closet....
Imetowa Tanzania.
 
Sio kweli, Mimi binafsi Nina mzee wangu, dada yangu, na kaka yangu humu ingawa sijui tu ID zao. Sasa unataka useme hao wanaishi humu JF ila siwajui in real life? Mfano Mama Samia ana ID humu ila Kuna anayeijua? Why mdhani waliopo humu ni watu feki?

Nachofahamu watu wapo huru zaidi humu kuliko uraiani so wanafunguka kwa uhuru bila hofu. So ungesema waliopo mtaani waoga ila wakishika simu wanakua na confidence ya kukosoa maana anatumia ID feki. Ila watu ni wale wale tu na ndio wanapiga kura ya Siri!!
Nimekwambia sio kila kilichomo humu ndio picha halisi ya mtaani, kama huo mfano wa kujionyesha kuwa na confidence humu mitandaoni ila huko mtaani kwenye uhalisia hawana hiyo confidence. Ndio maana nasema kwenye hii mitandao huwezi kupata picha halisi ya watu huko mitaani.
 
Mfano Mimi namchukia JPM humu JF ila mtaani naweka unafiki wa kumuita mzalendo n.k hivi kwenye Sanduku la kura ambayo ni Siri nitafanya maamuzi kwa version ya JF (uhalisia) au version ya mtaani (nayoigiza)?

Embu tuanzie hapo
 
Hayo yote unayosema ndio vitu vyenye kubeba hoja yangu kwamba haya ya mitandao hayatupi picha halisi ya mtaani, mfano mimi sikutegemea kuona kuona idadi kubwa ya watu kwenye mazishi ya Magufuli, mtazamo wa kimitandao ulinifanya nifikiri watu wengi wasingeweza kujitokeza kwenye mazishi yake.
 
Tatizo linaanzia hapo!! Kwamba walioenda kwenye mazishi wote walimpigia kura JPM? Mbona sisi tukijaza viwanja mnadai sio wapiga kura wale na kwamba wengine wanakuja kutuchora tu?

Kuna wakati akili za sukuma gang huwa sizielewi.

Nakumbuka juzi tu hapa mlisema msiba wa JPM umefuatiliwa kuliko event ya Samia ila hapo hapo mnadai Mitandaoni sio uhalisia!!

Naomba unisaidie tu Hawa members laki 5 wa JF (achana na millions of viewers ambao ni guests) je hawaishi duniani? Au wanaishi angani?
 
Hebu ngoja kwanza mkuu, we hadi sasa umenielewa vp?
 
Kuna watu wana makasiriko hadi mambo kama haya!! Sasa kuna ubaya gani kwa nchi kusaidia wahanga wa tetemeko? Hivi tumekuwa wabinafsi kiasi gani? Tunasahau kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe na hayazuiliki kirahisi.

Tunasahau kuwa leo kwao kesho kwetu, tusipojitoa kwa kidogo chetu siku yatatukumba ni nani atatukimbilia? Famasiala nini? Usiombe yakukute.

Mtu analeta hoja za kijinga eti tunatoa msaada wakati vitu vimepanda bei, hizo bilioni 2.3 ndo zinawahenyesha na kuwatoa watu mapovu hivi? Bilioni 2.3 zinaweza vipi kupunguza bei ya unga au vitu kupanda kama sio roho mbaya tu?

Tumezoea kupewapewa tu, na sisi siku moja tukijitoa sio mbaya!! Tatizo bongo wengi hawajui diplomasia ya kiuchumi, Samia sio hayati mwendazake yule ambaye hela za tetemeko rambirambi alikula yeye na genge lake bila aibu. Alikuwa rais wa hovyo sana na hakuwa na hata na chembe ya aibu usoni na moyoni mwake.
Tujikumbushe [emoji1313][emoji1313][emoji1313]: "Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewaomba wakazi wa Kagera walioathirika na tetemeko kufanya jitihada za kujijengea nyumba zao wenyewe kwani michango iliyochangwa na wadau imeelekezwa kwenye taasisi za serikali. Mkuu wa Mkoa amedai kuwa jumla ya fedha zilizochangwa ni zaidi ya Bilioni 5.4 na kusema kuwa zimeelekezwa katika kukarabati miundombinu ya taasisi za Serikali na kuwataka wananchi wanaosubiri msaada wa serikali kusubiri mchango itakayotolewa na wadau walioahidi kuwasaidia waathirika moja kwa moja."

Uturuki wametusaidia mangapi nchi yetu tokea uhuru? Yaani tatizo ni hiko kibilioni 2.5 ndo tunang'aka kiasi hiki angetoa bilioni 100 jee??

Kuna watu hawafurahii utawala na mageuzi aliyoyafanya Rais Samia hususan maridhiano na kurudisha maridhiano na demokrasia iliyokuwa imeporwa na dikteta katili wa awamu ya tano. Hawa Sukumagang ndio wanaopinga kila kitu. Mimi naona kama wamenunishwa na maridhiano kati ya Chadema na Mama, basi wahame nchi.
Tatizo lako udini!
 
Back
Top Bottom