Mlioko Dar Es Salaam, ety plate number za gari zinazoanza na F zishaanza kuingia barabarani?

Mlioko Dar Es Salaam, ety plate number za gari zinazoanza na F zishaanza kuingia barabarani?

Hakuna, hizo R zenyewe ndo kwaanza bado zipo mwanzo mwanzo.
 
Uzi bila picha, nisawa na kujichukulia sheria mkononi bila sabuni mazeee...🙃
 

Attachments

  • tapatalk_1521144929388.jpeg
    tapatalk_1521144929388.jpeg
    28.9 KB · Views: 34
Back
Top Bottom