Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Ni kweli wananchi wengi Wana uhitaji mkubwa sana wa Watu wenye misimamo Kama ya Mwabukusi, isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna njia ya kumpitisha mtu wa namna hiyo ili afike Ikulu. Hili ndio tatizo lililopo.Kutokana na IQ yake kubwa, ujasiri, uzalendo, elimu yake, asiogope kugombania nafasi hiyo kubwa kabisa nchini. anafaa. Wananchi tunamhitaji mtu wa hivyo.
naomba kuwasilisha
NaamAutikise mbuyu bhana, kwani kuna tatizo?
Mungu ni Mweza wa yoteNi kweli wananchi wengi Wana uhitaji mkubwa sana wa Watu wenye misimamo Kama ya Mwabukusi, isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna njia ya kumpitisha mtu wa namna hiyo ili afike Ikulu. Hili ndio tatizo lililopo.
Kafara kubwa inahitajika ili kutengeneza njia ya kuweza kuwapitisha Watu wa namna hiyo. Je, upo tayari kwa hilo??
kuna mamtu ni masomi. ila yameamua kuwa machawa ! yanaboa sanaWatu kama Mwabukusi na Lissu ndio huwa wananifanya niwe na HOPE kwanba kumbe sisi sio Taifa la MAZEZETA
Atafaa zaidi kuwa waziri wa katiba na sheria na amali za nchiKutokana na IQ yake kubwa, ujasiri, uzalendo, misimamo, elimu yake, asiogope kugombania nafasi hiyo kubwa kabisa nchini. anafaa. Wananchi tunamhitaji mtu wa hivyo.
naomba kuwasilisha
Wamamua kuwa Chawa wa Mama😂kuna mamtu ni masomi. ila yameamua kuwa machawa ! yanaboa sana
kikujibu nirushie nioneJe, upo tayari kwa hilo??
mkuu umekuwa adimu sana. uko bize sana nowdays. habari za RSA bossAtafaa zaidi kuwa waziri wa katiba na sheria na amali za nchi
Anafaa zaidi kuwa Rais wa nchi.Atafaa zaidi kuwa waziri wa katiba na sheria na amali za nchi
tunamwamini aliyeumba mbingu na duniaa
kikujibu nirushie nione
Kutokana na IQ yake kubwa, ujasiri, uzalendo, misimamo, elimu yake, asiogope kugombania nafasi hiyo kubwa kabisa nchini. anafaa. Wananchi tunamhitaji mtu wa hivyo.
naomba kuwasilisha