Mlioko karibu na wakili Mwabukusi asiogope "kutikisa m'buyu"

Mlioko karibu na wakili Mwabukusi asiogope "kutikisa m'buyu"

Kutokana na IQ yake kubwa, ujasiri, uzalendo, elimu yake, asiogope kugombania nafasi hiyo kubwa kabisa nchini. anafaa. Wananchi tunamhitaji mtu wa hivyo.

naomba kuwasilisha
Ni kweli wananchi wengi Wana uhitaji mkubwa sana wa Watu wenye misimamo Kama ya Mwabukusi, isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna njia ya kumpitisha mtu wa namna hiyo ili afike Ikulu. Hili ndio tatizo lililopo.
Kafara kubwa inahitajika ili kutengeneza njia ya kuweza kuwapitisha Watu wa namna hiyo. Je, upo tayari kwa hilo??
 
Mungu ni Mweza wa yote
 
Atafaa zaidi kuwa waziri wa katiba na sheria na amali za nchi
Anafaa zaidi kuwa Rais wa nchi.
Kwa nchi kama Tanzania tunamuhitaji mtu mwenye misimamo thabiti inayoeleweka na isiyoyumba kama alivyo Mwabukusi.

Tunataka Kiongozi ambaye akisema No, ni kweli kwamba anamaanisha Hapana, na akisema Yes, ni kweli kwamba anamaanisha Ndiyo, wala siyo vinginevyo. Na mtu kama huyo si mwingine bali ni MWABUKUSI.
 
shida iko wapi? Kama ni mwanachama wa CCM atachukua tu form japo nasikia wanasema wanachapisha form moja.

Kama ni CDM/Chauma/NCCR/ACT nk naamini pia zipo taratibu zao.

Kimsingi kwasasa ni Rais wa TLS, apambane na yake anayopaswa kupambana nayo ili watu wauone uwezo wake na ajenge CV yake pia.
 
Kutokana na IQ yake kubwa, ujasiri, uzalendo, misimamo, elimu yake, asiogope kugombania nafasi hiyo kubwa kabisa nchini. anafaa. Wananchi tunamhitaji mtu wa hivyo.

naomba kuwasilisha

Akigombea akipata 1% nitafute
 
Back
Top Bottom