Pamoja sana na mm kama tumoana jana ila upande and down kila sikuPole sana.
Mbona mmeanza kuchokoana mapema sana?
I have been married for over 10 yrs now, kwangu miaka mitatu ya kwanza was like a honey moon period. Mahaba mazito mazito, hamna kugombana, amani na upendo vimetamalaki. Miaka mitatu iloyofuatia ilikua na rabsha za kutosha... ila we got through it.
Hakuna formula as such.
Kabla ya kuoana mliishi pamoja for sometime? Na mli date kwa muda gani?
Hongera niah, 30yrs ndani ya kizungumkuti cha ndoa sio lelemama.Huu mwaka wa 30 na nina wajukuu na ndoa ipp kama tulivyooana. Sijasikia mchepuko wala nini. Kama upo ili mradi akitoka kazini yupo nyumbani, basi mchepuko ni wakati wa kazi. Tuna wajukuu pia.
Mbona rahisi!
punguza mihemko
punguza kutaka mwenzako awe kama unavyotaka,
timiza majukumu yako kama mwanamke wa kiAfrika na Siyo wa Kizungu.
wachana na Mambo ya equality.. Utabaki unaumia tu.
Weka Imani yako kwa Mungu wako yeye ni zaidi ya Mwanaume unaempa muda wako mwingi.
At last punguza Matarajio.
he's a Human like any other human,Find a reason of why you loved him at first and why are you hating him now....
ukipata jirekebisheni uendane na beat.
Duu, aisee pole sana. Namshukuru Mungu hapa nina 14yrs ya ndoaJaman mlioko ndoan ndan ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje??
Yan mmewezaje kuishi wawil mpaka miaka hiyo
Yaan mi miaka 2 tu nataman dunia igeuke kichwa chini miguu juu
Yan ukimuona mwenzio unapata hasira gafla
Akisafir unataman asirudi du!!!
Mmewezaje jaman nipen mbinu
Kama shuhuda zenyewe ndiyo hizi, miaka 2 mtu hutaki hata kumwona mwenzio, ila tuingie tu yetu itakua tofauti full molovee hadi uzeeni[emoji7][emoji847]tuingie oteh huku na Mimi nilikua nawazo kama lako financial services
Sent using Jamii Forums mobile app
Wow! Hongereni sana, ila si woga sana japo imenishtua Kidogo, ndoa changa kabisa ila watu wameshachokana hivo mmh, ila kumbe kuna wengi tu wanaenjoy ndoa zao, naingia chamani pia.Wacha woga.
Ukiingia ndoani ukiwa na majawabu mfukoni utayumba sana.
Watu tuna miaka 32 bado utafikiri tuko kwenye uchumba.
Mkichukuliana kama mwili mmoja hakika yote yanakuwa yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wow! Hongereni sana, ila si woga sana japo imenishtua Kidogo, ndoa changa kabisa ila watu wameshachokana hivo mmh, ila kumbe kuna wengi tu wanaenjoy ndoa zao, naingia chamani pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona rahisi!
punguza mihemko
punguza kutaka mwenzako awe kama unavyotaka,
timiza majukumu yako kama mwanamke wa kiAfrika na Siyo wa Kizungu.
wachana na Mambo ya equality.. Utabaki unaumia tu.
Weka Imani yako kwa Mungu wako yeye ni zaidi ya Mwanaume unaempa muda wako mwingi.
At last punguza Matarajio.
he's a Human like any other human,Find a reason of why you loved him at first and why are you hating him now....
ukipata jirekebisheni uendane na beat.
Hahaaa, njoo banaaAaaarg yani ndio nataka nijipange kuja kuoa kwenu kumbe ushawahiwa?? Daaaa baharia nitakufa singoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks bro. I willKabla ya kumjibu, pitia profile yake uone maswali aliyokuwa aliombea ushauri before hajaingia kwenye hii ndoa.
Nimewaza kwa sauti ya juu kabisa, mko wapi wanawake kama wewe nijiolee mmoja anifae nimfae maishani jamani..! [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Mbona rahisi!

miaka 8000