Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
Pamoja sana na mm kama tumoana jana ila upande and down kila sikuPole sana.
Mbona mmeanza kuchokoana mapema sana?
I have been married for over 10 yrs now, kwangu miaka mitatu ya kwanza was like a honey moon period. Mahaba mazito mazito, hamna kugombana, amani na upendo vimetamalaki. Miaka mitatu iloyofuatia ilikua na rabsha za kutosha... ila we got through it.
Hakuna formula as such.
Kabla ya kuoana mliishi pamoja for sometime? Na mli date kwa muda gani?