Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

Pole sana.
Mbona mmeanza kuchokoana mapema sana?
I have been married for over 10 yrs now, kwangu miaka mitatu ya kwanza was like a honey moon period. Mahaba mazito mazito, hamna kugombana, amani na upendo vimetamalaki. Miaka mitatu iloyofuatia ilikua na rabsha za kutosha... ila we got through it.
Hakuna formula as such.
Kabla ya kuoana mliishi pamoja for sometime? Na mli date kwa muda gani?
Pamoja sana na mm kama tumoana jana ila upande and down kila siku
 
Huu mwaka wa 30 na nina wajukuu na ndoa ipp kama tulivyooana. Sijasikia mchepuko wala nini. Kama upo ili mradi akitoka kazini yupo nyumbani, basi mchepuko ni wakati wa kazi. Tuna wajukuu pia.
Hongera niah, 30yrs ndani ya kizungumkuti cha ndoa sio lelemama.
 
IMG_5584.JPG



Uliingia kwenye ndoa kuondoa upweke..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umemalizaaaaa! Best advice


Cc Smart911
Mbona rahisi!
punguza mihemko
punguza kutaka mwenzako awe kama unavyotaka,
timiza majukumu yako kama mwanamke wa kiAfrika na Siyo wa Kizungu.
wachana na Mambo ya equality.. Utabaki unaumia tu.
Weka Imani yako kwa Mungu wako yeye ni zaidi ya Mwanaume unaempa muda wako mwingi.
At last punguza Matarajio.
he's a Human like any other human,Find a reason of why you loved him at first and why are you hating him now....
ukipata jirekebisheni uendane na beat.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du nina miaka 15 naona kama nina mwezi, miaka 5 unalia masikini umeoa au umeolewa na mchawi? Mimi kilichonishinda tu ni kuchepuka ila kwa siri ila mwenzangu hana huo upuzi ametulia tuli. Mke kutoka kwa MUNGU ila changamoto zipo chache ila tunavuka tu mbona.

Dogo ndoa mbona tamu tu kikubwa jielewe kaa na mwenzako mwambie yanayokusibu na usitamani ndoa yako isuluhishwe na mtu. Pia kabla hujaoa mwambie mwenzako usichokipenda na yeye asichokipenda akumbie ili mjue mapungufu yenu maana udhaifu ndio huleta nguvu na umoja hasa ukimkumbusha nilikuambia sipendi hivi ukafanya mimi nimekusamehe usirudie kadiri unavomwambia hivo ndipo atapoona unamjali sana hasa kwa kumsamehe na kumchukulia udhaifu wake haya ni machache kwa niaba ya


Korona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman mlioko ndoan ndan ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje??
Yan mmewezaje kuishi wawil mpaka miaka hiyo

Yaan mi miaka 2 tu nataman dunia igeuke kichwa chini miguu juu
Yan ukimuona mwenzio unapata hasira gafla
Akisafir unataman asirudi du!!!
Mmewezaje jaman nipen mbinu
Duu, aisee pole sana. Namshukuru Mungu hapa nina 14yrs ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye ndoa zao washatiririka vya kutosha.

Naamini ndoa ni tamu sana endapo kabla ya kuingia ukitambua kuwa ndoa ni kitu halisi.
 
Wacha woga.
Ukiingia ndoani ukiwa na majawabu mfukoni utayumba sana.

Watu tuna miaka 32 bado utafikiri tuko kwenye uchumba.
Mkichukuliana kama mwili mmoja hakika yote yanakuwa yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wow! Hongereni sana, ila si woga sana japo imenishtua Kidogo, ndoa changa kabisa ila watu wameshachokana hivo mmh, ila kumbe kuna wengi tu wanaenjoy ndoa zao, naingia chamani pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo wale wenye vigezo 12 kidogo, visivyoimarisha ndoa na wala haviibebi ndoa,.. Nataka awe mrefu mweupe, awe na dimpoz, awe na gari zuri, awe wa kabila letu, awe handsome,... Ukiangalia Kati ya hayo yote hakuna hata moja la kuiishi ndoa haipo,.. Leo unakuja kulia kwa uchaguzi wako mwenyewe.... Kabadilika nn leo, si Kawa vile vile kama mwanzo... Komaa nae tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ndio mamiii ndio maana tunadunda tu na ndoa yetu[emoji41]
Mbona rahisi!
punguza mihemko
punguza kutaka mwenzako awe kama unavyotaka,
timiza majukumu yako kama mwanamke wa kiAfrika na Siyo wa Kizungu.
wachana na Mambo ya equality.. Utabaki unaumia tu.
Weka Imani yako kwa Mungu wako yeye ni zaidi ya Mwanaume unaempa muda wako mwingi.
At last punguza Matarajio.
he's a Human like any other human,Find a reason of why you loved him at first and why are you hating him now....
ukipata jirekebisheni uendane na beat.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona rahisi!
punguza mihemko
punguza kutaka mwenzako awe kama unavyotaka,
timiza majukumu yako kama mwanamke wa kiAfrika na Siyo wa Kizungu.
wachana na Mambo ya equality.. Utabaki unaumia tu.
Weka Imani yako kwa Mungu wako yeye ni zaidi ya Mwanaume unaempa muda wako mwingi.
At last punguza Matarajio.
he's a Human like any other human,Find a reason of why you loved him at first and why are you hating him now....
ukipata jirekebisheni uendane na beat.
Nimewaza kwa sauti ya juu kabisa, mko wapi wanawake kama wewe nijiolee mmoja anifae nimfae maishani jamani..! [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom