Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

Kuna tatizo hapo kuna watu tupo ktk ndoa zaid ya miaka hiyo na kila siku namuona mpya siku nuingine huwa nakosea namtongoza tena fanya kukaa na mwenzio mrekebishe tatizo


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umenifurahisha sana leo. Jioni nakupa outing... kaa mkao. Tukutane pale pale the same venue.

-Kaveli-
 
Good

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Itakuwa humpendi mwenza wako mkuu
 
Matarajio yasiyo halisi kabla Ya ndoa ndo yanafanya ndoa inakuwa ngumu,
Uliingia humo kutafuta nini ambacho ulikikosa ukiwa alone (kwenu) ?
Kama ulichotarajia hukukikuta obviously lazima pawe pagumu

Au kama ulikikuta kikatoweka hapo katikati lazima pawe pagumu pia
Namna nzuri nadhani Ya kukabiliana na hii taasisi ni kupunguza kabisa matarajio yako kwa mwenzio,

Yale yaliyo ndani ya uwezo wako yafanye Mwenyewe yasiyo ndani ya uwezo wako (kibinadam) achana nayo,weka nguvu kwa unayoyamudu kibinadam,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia nguvu ya jinsia yako kumtuliza mwenzio
Bora wewe umenipa mbinu wengine wananipa lawama tu
 
Dogo kama mke hakusaliti kaa nae mjenge familia, ingawa hujasema ndoa yako ina msukosuko gani ila nakushauri hakuna mtaalamu wa kushauri ndoa cha msingi Vumilia yataisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…