To be frank tangu nimeolewa, siwezi lalamika namshukuru mme wangu kwa kunipenda na kulea watoto wetu mpaka wameoa sasa wengine. Shida ni extended family usipoangalia ndiyo inavunja ndoa. Ndugu zetu ukiolewa wanafikiri na wenyewe wameolewa na wewe. Wawe wanaume au wanawake wanafikiri mme wako kawaoa wote! Nimebeba hiyo mizigo na mme wangu sasa nadhani tunakaribia kuitua.Hongera niah, 30yrs ndani ya kizungumkuti cha ndoa sio lelemama.
Tuingie tu tukayaone huko hukoDuh, shida imeanzia wapi ?, kuna kitu mmekoseana na hamjasuluhishana?, hatari hii yaani mmefikia kukasirikiana hivo [emoji849] ,watu tunatamani kuingia huko ila kama ndiyo hivo mmh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee.Ndoa zilizoanza kwa misingi ya kishirikina hazijawahi kudumu.
Mmoja akitumia ndago kumshawishi au kumvuta mwenzie kimapenzi hadi mkaoana....ndago ziki-expire ndio mwisho wa mapenzi na mwanzo wa aliyevutwa kwa ndago kumchukia mwenzie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa maana ukisikiliza stories za watu utaishia kuogopa tu, ila yetu isije ikavunja records kwa kudumu siku 2 tu[emoji3]
Ooh,hongereni sana mko vizuri,nimependa inaonesha unamkubali sana mkeo. Na je mlikua hivo tangu uchumba?, ama kuna vitu mmerekebishana? Hasa kwenye kutokua na papara na kumaliza mambo kwa majadiliano?, nataka kujua kama inawezekana mtu akabadilika(+ve way)Mi mkongwe ila ndoa mwanaume ni kichwa mke ni shingo, sijawahi kulalamikiwa na ndugu wa mke kuhusu ndoa, wife yuko very smart and matured hana papara hata likitokea jambo tunalimaliza kwa mjdala kunako bed
Maisha ya uchumba na ya ndoa yanautofauti sana, usibebe akili za uchumba ukapeleka kwenye ndoa utakufa kwa presha ndoa inahitaji akili na maridhiano sana, ndo maana mabinti wengi wakiolewa wanataka Yale maisha ya uchumba yaendelee katika ndoa hilo huwa halitokei, ukiolewa ujue wewe ni mama wa familia kazi yako ni kulea mume wako na watu wote unaoishi nao outing zisikuumize kichwa, achana na marafiki starehe au wale wanaklokuchokonoa kuhusu maisha yako, ishi kama mumeo anavyotakaOoh,hongereni sana mko vizuri,nimependa inaonesha unamkubali sana mkeo. Na je mlikua hivo tangu uchumba?, ama kuna vitu mmerekebishana? Hasa kwenye kutokua na papara na kumaliza mambo kwa majadiliano?, nataka kujua kama inawezekana mtu akabadilika(+ve way)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa maana ukisikiliza stories za watu utaishia kuogopa tu, ila yetu isije ikavunja records kwa kudumu siku 2 tu[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa ushauri mzuri.Usiolewe kwa kutafuta public attention l, amua kama anayekuoa unamuona anaweza kubeba majukumu ya familia
[emoji1787][emoji1787] itadumu, maana you are wife material na mimi pia ni husband materialKweli kabisa maana ukisikiliza stories za watu utaishia kuogopa tu, ila yetu isije ikavunja records kwa kudumu siku 2 tu[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa....mkikaza kipindi hicho basi ndio hamuachani tena. Hapo ndio kila mmoja anaonyesha tabia zake halisi,ni mwendo wa kuvutana tu.Jaman mlioko ndoan ndan ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje??
Yan mmewezaje kuishi wawil mpaka miaka hiyo
Yaan mi miaka 2 tu nataman dunia igeuke kichwa chini miguu juu
Yan ukimuona mwenzio unapata hasira gafla
Akisafir unataman asirudi du!!!
Mmewezaje jaman nipen mbinu
Nina miaka 9. Nina uelewa kidogo.. kuna changamoto nyingi nafahamu. Ila cha msingi ni kuwa.. mkijifanya wote wajuaji hamuwezi kufika. Niliwahi kuambia na mtu mmoja, ukiona marafiki wawili ujue kuna mmoja aneamua kujifanya bwege, ili mambo yaende.Jaman mlioko ndoan ndan ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje??
Yan mmewezaje kuishi wawil mpaka miaka hiyo
Yaan mi miaka 2 tu nataman dunia igeuke kichwa chini miguu juu
Yan ukimuona mwenzio unapata hasira gafla
Akisafir unataman asirudi du!!!
Mmewezaje jaman nipen mbinu
Fact. Nina miaka saba kasoro ya ndoa. Hatujawahi gombana ugomvi mkubwa, ila kuvumiliana na kuchukuliana poa kwenye mapungufu ya kibinadamu hudumisha ndoa. Kikubwa kubali kuwa mwenzako sio malaika.Mbona rahisi!
punguza mihemko
punguza kutaka mwenzako awe kama unavyotaka,
timiza majukumu yako kama mwanamke wa kiAfrika na Siyo wa Kizungu.
wachana na Mambo ya equality.. Utabaki unaumia tu.
Weka Imani yako kwa Mungu wako yeye ni zaidi ya Mwanaume unaempa muda wako mwingi.
At last punguza Matarajio.
he's a Human like any other human,Find a reason of why you loved him at first and why are you hating him now....
ukipata jirekebisheni uendane na beat.
Umeweka picha ya Baba wa Taifa kwenye avatar yako, lakini maneno ya kinywa chako ni shida..Kuchukuliana maana yake nini, akiwa anakwanguliwa uchukue magonjwa yake ???
Likizo imeisha eenh kibonge mwenzangu miezi miwili mingi sana
Hallelujah [emoji119]Relax...! ..utapita tu kipindi hicho!...vumilianeni, ...!nimepita huko nw nimevuka!
Ameen😅Hallelujah [emoji119]