To be frank tangu nimeolewa, siwezi lalamika namshukuru mme wangu kwa kunipenda na kulea watoto wetu mpaka wameoa sasa wengine. Shida ni extended family usipoangalia ndiyo inavunja ndoa. Ndugu zetu ukiolewa wanafikiri na wenyewe wameolewa na wewe. Wawe wanaume au wanawake wanafikiri mme wako kawaoa wote! Nimebeba hiyo mizigo na mme wangu sasa nadhani tunakaribia kuitua.Hongera niah, 30yrs ndani ya kizungumkuti cha ndoa sio lelemama.