Mlioko ndoani hii ni sawa?

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Eti jamani mke na mume ni kawaida mume kwenda chumbani kulala saa 5 au 6 au 7 usiku kila siku?

Yan et jamaa yake wakimaliza kula watu wote wanasambaa anabaki yeye na simu mpaka saa 6 au 7 ndio anaenda kulala anadai ameshaongea mpaka amechoka.

Sio mimi jmn msinipopoe mi nishaachika muda tu ni dada yangu
 
Mmh inategemea lakini mahusiano yao hayo yapoje
 
Inawezekana kuna kitu anakiavoid kwa mke wake ndio maana anazuga na simu akisubiri mke apitiwe na usingizi. Mwambie dada yako au hata kama ni wewe kaa na jamaa yako muulize kiunyenyekevu akueleze tatizo.
 
Daaah umeachika lini ? 🀣
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Sasa kama mwanamke umepoteza mvuto unalala kitandan na vitende pajama t-shirts za matangazo ya sensa hunukii, mwanaume awahi kuja kulala anatafuta nini kwako...? Halafu huyo ni wew usimsingizie rafik yako, ila wew dada una matukio mengi bilashaka utakua una matatizo sana binafs tafuta washauri wazuri wakusaidie kisaikolojia lasivyo utaachana na kila mwanaume...
 
Ni kitu gani kinakufanya unaamini matukio yote ni yangu??? Yan una Amini kabisa kuna binadamu wahv na still huyo mwanaume anaendelea kuishi na huyo mwanamke
 
1. Mlete mdhunguuu....!!!πŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈπŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½

2. Wamechokana, hasa mume amechoka na hataki kuliongelea hilo.

3. Ana mchepuko unampa amani, furaha, vicheko na mapenzi.
Wanaume wanavyopenda mbususu halafu aingine chumbani saa 7 usiku....!!
Huyo kamchoka dada/shosti yako.

4. Akili kumkichwa, achambue mchele na pumba afanye maamuzi kabla jua halijazama.

5. Mlete mdhunguuu....! Mdhungu jalabuu....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…