Mlioko ndoani hii ni sawa?

Mlioko ndoani hii ni sawa?

Ni kitu gani kinakufanya unaamini matukio yote ni yangu??? Yan una Amini kabisa kuna binadamu wahv na still huyo mwanaume anaendelea kuishi na huyo mwanamke
😂😅 Tupo wanaume wavumilivu tunapigwa matukio ya kigaidi ila tupo tu... Hasara roho
 
🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mkuu imetokea tu kama coincidence , tuseme yeye kaachika sawa, dadake nae moto unamuwakia, avumilie kisa ataogopwa kusemwa hiyo familia haifai kuoa ?
Ina maanisha kwamba tatizo lipo kwa huyo mwanamke. Hawajui kuplay lart yao kama wake
 
1. Mlete mdhunguuu....!!!🤷‍♀️🤷‍♀️💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽

2. Wamechokana, hasa mume amechoka na hataki kuliongelea hilo.

3. Ana mchepuko unampa amani, furaha, vicheko na mapenzi.
Wanaume wanavyopenda mbususu halafu aingine chumbani saa 7 usiku....!!
Huyo kamchoka dada/shosti yako.

4. Akili kumkichwa, achambue mchele na pumba afanye maamuzi kabla jua halijazama.

5. Mlete mdhunguuu....! Mdhungu jalabuu....😅😅😅😜
Mbususu haina mvuto tena
 
Mbususu haina mvuto tena

Wanaume nyiiieee....!!!!

Hivi zile za kununua ambazo zimepigwa /zimechapwa sana na ubapa zinakuwaga na mvuto...!??

Mvuto nakataa maana mngeacha kununua zilizotumika na zinaendelea kutumika.

Sema huyo mwanamke sio mbunifu/sio msafi/chumba hakimvutii mume kuwahi kuingia chumbani kulala.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Wewe alikudanganya nani kupigwa kwinginkwa mbususu kunaondoa mvuto.....wale wanajua kuzitake care mbususu zao mwenyewe unaburudika hadi raha.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Wewe alikudanganya nani kupigwa kwinginkwa mbususu kunaondoa mvuto.....wale wanajua kuzitake care mbususu zao mwenyewe unaburudika hadi raha.

Khaaaaa.....!!!!!! 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

Haya bana, naunga mkono hoja.😅😅
 
Eti jamani mke na mume ni kawaida mume kwenda chumbani kulala saa 5 au 6 au 7 usiku kila siku?

Yan et jamaa yake wakimaliza kula watu wote wanasambaa anabaki yeye na simu mpaka saa 6 au 7 ndio anaenda kulala anadai ameshaongea mpaka amechoka.

Sio mimi jmn msinipopoe mi nishaachika muda tu ni dada yangu
 
Anachart na michepuko yake mpk akimaliza afute kabisa ushahid ndo aje kulala
Michepuko mingine usipomalizana nayo utashangaa inatuma msg wakat uko na mke
Shida zote za nini jamani? Si mtulie 😂😂
 
Back
Top Bottom