Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
😂😅 Tupo wanaume wavumilivu tunapigwa matukio ya kigaidi ila tupo tu... Hasara rohoNi kitu gani kinakufanya unaamini matukio yote ni yangu??? Yan una Amini kabisa kuna binadamu wahv na still huyo mwanaume anaendelea kuishi na huyo mwanamke