Mlioko ndoani hii ni sawa?

Ni kitu gani kinakufanya unaamini matukio yote ni yangu??? Yan una Amini kabisa kuna binadamu wahv na still huyo mwanaume anaendelea kuishi na huyo mwanamke
πŸ˜‚πŸ˜… Tupo wanaume wavumilivu tunapigwa matukio ya kigaidi ila tupo tu... Hasara roho
 
Sasa wee kama yeye kaachika sii inamaana hiyo familia ni sio watu wakuoa
🀣
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 mkuu imetokea tu kama coincidence , tuseme yeye kaachika sawa, dadake nae moto unamuwakia, avumilie kisa ataogopwa kusemwa hiyo familia haifai kuoa ?
 
Ina maanisha kwamba tatizo lipo kwa huyo mwanamke. Hawajui kuplay lart yao kama wake
 
Mbususu haina mvuto tena
 
Mbususu haina mvuto tena

Wanaume nyiiieee....!!!!

Hivi zile za kununua ambazo zimepigwa /zimechapwa sana na ubapa zinakuwaga na mvuto...!??

Mvuto nakataa maana mngeacha kununua zilizotumika na zinaendelea kutumika.

Sema huyo mwanamke sio mbunifu/sio msafi/chumba hakimvutii mume kuwahi kuingia chumbani kulala.
 
🀣🀣🀣🀣🀣Wewe alikudanganya nani kupigwa kwinginkwa mbususu kunaondoa mvuto.....wale wanajua kuzitake care mbususu zao mwenyewe unaburudika hadi raha.
 
🀣🀣🀣🀣🀣Wewe alikudanganya nani kupigwa kwinginkwa mbususu kunaondoa mvuto.....wale wanajua kuzitake care mbususu zao mwenyewe unaburudika hadi raha.


Khaaaaa.....!!!!!! πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½

Haya bana, naunga mkono hoja.πŸ˜…πŸ˜…
 
 
Anachart na michepuko yake mpk akimaliza afute kabisa ushahid ndo aje kulala
Michepuko mingine usipomalizana nayo utashangaa inatuma msg wakat uko na mke
Shida zote za nini jamani? Si mtulie πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…