Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

Hujajibu kwa nini Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea.
 
Hujajibu kwa nini Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea.
Nimeshakujibu maswali yako mengi ambayo yanajirudia rudia, hata swali hili nilishakujibu hapo kwenye post #181 kipengele namba 2 na 3 (vipengele hivyo vimekujibu kwanini mabaya yameweza kutokea).
 
Nimeshakujibu maswali yako mengi ambayo yanajirudia rudia, hata swali hili nilishakujibu hapo kwenye post #181 kipengele namba 2 na 3 (vipengele hivyo vimekujibu kwanini mabaya yameweza kutokea).
Mimi nakuuliza swali.

Kabla ya Mungu kuiumba dunia, alikuwa na uwezo wa kuiumba vyovyote.

Alikuwa na uwezo wa kuiumba dunia ambayo mabaya hayawezekani kuwepo.

Kwa nini hakuiumba dunia ambayo mabaya hayawezi kutokea kabisa?

Unanijibu kwa kuandika baada ya Mungu kuiumba dunia, wanadamu waliiharibu dunia na uharibifu huo umesababisha mabaya.

Wewe umeelewa swali langu kweli?

Mimi nakuuliza, kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao watu hawawezi kuiharibu dunia?

Wewe unanijibu, baada ya Mungu kuiumba dunia, watu waliiharibu dunia.

Hapo umejibu swali? Umeelewa swali?
 
Kwanza nikuulize swali Mkuu, hivyo vipengele (2&3) nilivyokuambia umevielewa?
 
Kwanini Mungu hayupo? Thibitisha.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini Mungu hayupo? Thibitisha.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote, hayupo. Ni hadithi ya kutungwa na watu tu.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao mabaya, njaa, matetemeko, ma tsunami, magonjwa, yanaweza kuwepo.

Kuwepo kwa hayo mambo, kunaoneshq Mungu huyo hayupo, habari zake ni hadithi tu za kutungwa na watu.

Wewe ushaona wapi Baba mwenye alili nzuri, upendo mzuri na uwezo mzuri anajenga nyumba nankuwategeshea mabomu wanawe, wakiishi katika hiyo nyumba mabomu yawalipukie?
 
Hapo hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Umeandika tu kwamba umethibitisha Mungu yupo kwa ushahidi kwamba kaumba ulimwengu.

Hujathibitisha hata kwamba Mungu kaumba ulimwengu.

Ni sawa na mimi niseme kwamba nathibitisha mimi ni Mungu kwa ushahidi kwamba nimemumba ulimwengu.

Huo si uthibitisho, hayo ni mahubiri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…