Mlioko Uingereza, msaidieni huyu mama kufahamu wanawe walipo

Huyo mama hao watoto sio wake tena, na sasa atakuwa ameelewa kuwa alipoteza muda kuwatafuta na kwanza angewaharibia maisha yao kama yangeanza ya kusanuka na mambo ya ukimbizi wa kisomali, na wakiona analeta mazoea sana wanaweza kumkatia jiiii.
Hao sasa ni wameshakuwa wale tunawaita fish and chips, na hawatakuwa na time na Tanzania tena.
Umenikumbusha kisa cha mama ki-Nigeria, alijenga urafiki na mama ki-Jamaica watoto wao walikuwa wanasoma darasa moja.

Baadae wakaingia makubaliano mjamaica awe anamchukua na mtoto wake halafu atakuwa anamfuata akitoka akitoka kazini.

Kumbe mnaigeria alikuwa anamsoma mjamaica alipoona ni mtu mwenye roho nzuri kwa watoto, baada ya mwezi jii kapotea. Mjamaica anashangaa kaenda wapi mbona amfuati mtoto wake. Siku ikawa week, mwezi akaripoti shule wakampa temporary custody ya mtoto. Na mnaijeria mwenyewe kumbe karudi kwao kwenda kuolewa na kubaki huko huko.

Ikaenda mwisho wa siku yule mjamaica akamu-adopt yule mtoto kisheria. Huku kumbe yule mnigeria rafiki zake wanafuatilia movement za yule mama wa kijamaica na mtoto na kumpa habari mama yake kila anapoama.

Imepita kama miaka 15 siku moja mama wa kijamaica anasikia ngo-ngo-ngo kufungua mlango mama wa ki-Nigeria huyo nimekuja kumfuata mwanangu. Mjamaica akamwambia mwanao yupi, uniachie mtoto mdogo niangaike nae mimi halafu leo useme una mtoto usiniletee wazimu wakiafrica.

To cut the story short na mtoto mwenyewe nae akamkataa mama yake mzazi amtambui, akamwambia mama yangu ninae mjua mimi huyu mjamaica wewe sijui umetokea wapi.
 
Ndio tatizo la waafrika, wana akili fupi sana wanadhani huko ulaya maisha ni yaleyale kama afrika unamtwanga makofi na mafimbo mtoto akiwa mdogo, na kama uliponea pilika za social services bila kunyang'anya akikua anakupotezea kama hakuji anakwambia live wewe sio mzazi wangu kwa jinsi ulivyokuwa unapigapiga hovyo.

Kwa kweli kwa maisha ya ulaya walivyokulia hao watoto hao huyo mama hata kama aliwapata, watoto watamuona ni msumbufu tu
 
Back
Top Bottom