Mliokosa mikopo HESLB uanganeni!

Mliokosa mikopo HESLB uanganeni!

Msijali wadau taarifa sahihi mwishoni mwa wiki au mwanzoni mwa wiki majina ya nyongeza walio kosa mkopo yatatoka tena msijali ukweli makini na net muhimu sana wadau

mdau ni kweli na chanzo cha habari hii ni ikoje
 
Vuteni subra mda si mrefu mliokosa mtacheka tuombe mungu it's real wadau.
 
Amini hivyo Shaka ondoa jipe moyo utashinda Kuwa mvumilivu source by uhakika usio na chembe ya Shaka hata kidogo.
 
Tatizo ni kwamba nchi yetu inajua kupanga mambo lakini kutekeleza ni shida tu, maskini hana haki kwenye hii nchi. Angalia waliokosa mikopo ni watoto wa maskini na waliopata asilimia 100 ni watoto wa wa mapapa. Kuungana ni muhimu ila nafikiri ifike mahali hata wale waliopata mikopo waache kuingia darasani mpaka wenzao watakapopatiwa haki yao ya msingi ikiwezekana hii movement ipelekwe hata kwa wananchi watu waingie mtaani kuishinikiza nchi.
Umeongea Point,ila tatizo la vijana wa sasa ni woga na ubinafsi,aliyepata mkopo haguswi chochote kwa asiye na mkopo.
 
Tatizo ni kwamba nchi yetu inajua kupanga mambo lakini kutekeleza ni shida tu, maskini hana haki kwenye hii nchi. Angalia waliokosa mikopo ni watoto wa maskini na waliopata asilimia 100 ni watoto wa wa mapapa. Kuungana ni muhimu ila nafikiri ifike mahali hata wale waliopata mikopo waache kuingia darasani mpaka wenzao watakapopatiwa haki yao ya msingi ikiwezekana hii movement ipelekwe hata kwa wananchi watu waingie mtaani kuishinikiza nchi.

Point kabisa,tatizo lililopo ni woga! vijana wengi wanaogopa kua subjected!labda vyama vya siasa au wananchi wenyewe waingilie kati hapo sawa ila kwa vijana Wa Chuo mmmmh,ipo kazi?
 
kuna watu wengine wanapotosha humu jf. mtu anasema soon waliokosa watapata mkopo, kweli! kutoka wapi wakati serikili imesema haina pesa ya kuwakopesha! juhudi zipi zimefanyika kubadili msimamo wa serikali? Siamini hzo taarifa hata kidogo. Labda uweke source accessible kwa wote tusome au tusikilize wenyewe. heslb wamenivuruga kabisa,ndoto ya kuwa Engineer imeanza kucheleweshwa. Inaniuma sana
 
Mbona Engineering ni priority program??
 
Tena vyuoni wako serious na mambo ya pesa had naogopa......khaa
 
mwaka 2002 serikali ilwanyima mikopo wanafunzi 603 waliochaguliwa udsm. Wale wanafunzi waliripoti chuoni na kuungana kudai haki ya kukopeshwa. Baada ya shinikizo kubwa wanafunzi wote walikopeshwa/dhaminiwa na serikali. Asiwadanganye mtu. Si kweli kuwa serikali haina pesa bali haijui vipaumbele. Kama inaweza kuawapeleka maelfu jeshini na kuwahudumia kwa kila kitu bila mkopo itakuwaje leo iseme haina pesa? Kama inaweza kutenga mamilioni kwa ajili ya kukimbiza na kuzima mwenge, itakuwaje isiwe na pesa za kukopesha wanafunzi? Ni lini mlisikia rais ameahirisha ziara zake za kuizunguka dunia kwasababu serikali haina pesa? Ni lini mlisikia wabunge wamekosa posho zao kwakuwa serikali haina pesa?mmeambiwa waziri mkuu analipwa milioni 26 na rais milioni 32 kila mwezi. Ni lini mlisikia serikali imeshindwa kuwalipa? Ukweli ni kuwa serikali ina pesa za kukopesha wanafunzi wote waliodahiliwa lakini inaelekeza pesa kwenye mambo yasiyo na msingi. Uanganeni mdai haki zenu kwani hizo ni pesa wanazokamuliwa masikini wa nchi hii. Kama pesa hakuna, waliwapeleka jeshini kufanya nini? Muda mliokaa jeshini si mngekuwa mmewasaidia wazazi kutafuta pesa za kujigharimia? Sasa hivi wamewaita wengine tena jeshini, hizo pesa zintoka wapi?! Solidarity for ever?
ndugu huo ndo ushauri wa maana kabisa, tafuteni nauli timbeni vyuoni mtapata tu mkopo ukizingatia ndo 2015 hiyo ya kuombana kura kakomaeni tu pesa zipo nina uhakika na mtapewa. Mwaka 2006 walitufukuza chuoni lakini waliturudisha na kutupa hizo pesa ingawa wengi tuliambulia 60% lakin zilitusaidia, komaeeeeeeeeeeeeeeni vijana
 
Vuteni subra mda si mrefu mliokosa mtacheka tuombe mungu it's real wadau.[/QUOTE

do you just imagine or have you got any kind of source which direct us that we are going to be given loan?

Yasini umeamini comments yangu ya vuteni subila ? Kuweni na amani nyote mtapata isipokuwa sijui vipi mtafanya Reg bila cash wakati dead line inakaribia kuisha.
 
kuna watu wengine wanapotosha humu jf. mtu anasema soon waliokosa watapata mkopo, kweli! kutoka wapi wakati serikili imesema haina pesa ya kuwakopesha! juhudi zipi zimefanyika kubadili msimamo wa serikali? Siamini hzo taarifa hata kidogo. Labda uweke source accessible kwa wote tusome au tusikilize wenyewe. heslb wamenivuruga kabisa,ndoto ya kuwa Engineer imeanza kucheleweshwa. Inaniuma sana

Tarehe 18 nilitoa comments ,ya punde tu waliokosa mikopo watapata ulisema JF kuna watu wanapotosha Je tangazo la board kaka umelisoma la tar 23 Oct? Kaa tayari kuingia chuo kaka ndoto yako ya Engineering inafika punde tu.
 
Walinyima mkopo kwa sababu nimemaliza miaka mingi,lakini cha ajabu anayeitwa leo ili apewe mkopo jina la kwanza kamaliza form four 1982 anayefuata 1980.Sasa kinachonishangaza 2006 na 1980 nani kamaliza mda mrefu?.HESLB WAMEVURUGWA!!!!!!!!
 
Tarehe 18 nilitoa comments ,ya punde tu waliokosa mikopo watapata ulisema JF kuna watu wanapotosha Je tangazo la board kaka umelisoma la tar 23 Oct? Kaa tayari kuingia chuo kaka ndoto yako ya Engineering inafika punde tu.

Usemi wako kwa namna moja au nyingine ulikuwa sahihi,nilikomemti vile kwa kuwa hukuwa specific nikajua na wewe ni walewale watia moyo bila juhudi zozote. Ila huwezi amini wanaopewa mkopo ni wale waliokosea kujaza form zao ambao ni priority kozi bila kujali vigezo vingine vyote. Nilikosa mkopo kwa sababu nilimaliza FORM SIX OR DIPLOMA THREE OR MORE YEAS BACK. Lakini ukianglia vizuri majina ambayo bodi inawaita wapate mkopo, jina la kwanza kamaliza FORM FOUR 1982 anaefuata 1980. Kweli hawa HESLB wamevurugwa kabisa, wameninyima mkopo mimi ati nimemaliza miaka mingi sasa 2006 na 1980 anayeitwa akapewe nani kamaliza miaka mingi? INAUMA SANA SANA.
 
Kwani wewe hukufanya marekebisho wkt ule? Board hawana maana hiyo we subili hizo Kozi zimeandikwa tu usijali hata Kama hukufanya masahihisho jipe moyo,masahihisho means walikosea haina maana ndio watakaopata tu, they have priority
 
Back
Top Bottom