Kuna watu walitaka kupunguzia ugumu wa maisha kupitia vijisenti vya zoezi la sensa la 2022. Baada ya kukosa nafasi hizo wanakuja na ngonjera kuwa waliochaguliwa kuendesha hili zoezi hawana sifa na vigezo. Hili siyo kweli na ni upotoshaji mkubwa. Wote tuliopata tunazo sifa na vigezo.
Kwa miaka hii ambapo wasomi tuko wengi ili kupata nafasi lazima uwe na connection (godfather), usitegemee vyeti vyako tu.
Yaani mfano kuna waombaji 20,000 kati ya hao wenye sifa wapo 15,000 lkn wanatakiwa watu 5,000. Hapa utatumia kigezo gani kingine kuchagua zaidi ya muangalia connection (wenye godfathers)?
Kuwa na connection pia ni added advantage. Connection yako inaweza kuwa kadi ya ccm, mtoto wa mkubwa, mtoto wa diwani, kuswali msikiti mmoja na mtoa ajira, kusali jumuiya moja na mtoa ajira, n.k.