Nilikaa upareni aisee sijawai kuona vyakula vya ajabu kama huko kwanza kande hazina sukari na ni magumu Yale mahindi ambayo yamekomaa wala hawaja koboa ,unatafuna kama karanga Yani Yale maji yaliyopikiwa izo kande bado nice meupe ...
Tunakaa pamepikwa wali eti mboga ni maziwa ya mgando yaani wavivu kupikia hata mchuzi ..siku moja walipika mchzi wa kambare yaani wamechemsha tu kama supu then wanaweka juu ya wali ,ukiangalia kama wali umemwagiwa maji vile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asubuhi safi maandazi ,uzuri nilienda na sister kama wiki mbili akaanza kupika yeye Yale mambo ya kipwani aisee walikuwa wanaenjoy kinoma, alipika vibibi basi bibi akavigawa kwa watu kibao waonje kesho nikawaona wanakuja pale wanataka sister awafundishe kupika na kule Nazi ilikuwa ni begi ghali sana ilikuwa ni mkomazi.