Mliokulia kijijini poleni sana, mnakula vyakula duni sana

Mliokulia kijijini poleni sana, mnakula vyakula duni sana

Nilienda usukumani
Picha linaanza wamechinja mbuzi hawaweki vitunguu swaumu kukata shimbi wala ndimi nkawaambia naombeni nipike mchuzi walibloo wenyewe wakashangaa eti htujui km kitunguu swaumu kinakata shombo, Wana karanga ila kande hawaweki karanga nikawawekea siku hyoo weee walikula balaa,kupika mi ndo nilikabidhiwa jiko,asubuhi chapati za mafutazsiku moja nkapika tambi kulikua na mgonjwa bwana wee waliinjoi mgonjwa alikula mpk akatamani tena
Inshort mapishi Yako pwani bwanaaa tunajua hasaaa,nilikua napika wali Nazi plus ndondo wanakula hawabakishi hapo mi kwetu ndo sijui kupika Sasa,nikawa nasema kimoyo wangekua wanakula vya wadogo zangu Hawa [emoji1][emoji1][emoji1]wangepagawa
Ila mlenda,mtindi na ugali vilinishinda aseehh
Kuna mkoa siutaji niliendavkikazi huko kwenye kata fulani nikaagiza wali nyama nilishindwa kula,nyama imeungwa kwa mafuta mengi sana,shombo tupu,na ni migahawa yote,niliishia kula wali maharage wiki nzima
 
Nilikaa upareni aisee sijawai kuona vyakula vya ajabu kama huko kwanza kande hazina sukari na ni magumu Yale mahindi ambayo yamekomaa wala hawaja koboa ,unatafuna kama karanga Yani Yale maji yaliyopikiwa izo kande bado nice meupe ...

Tunakaa pamepikwa wali eti mboga ni maziwa ya mgando yaani wavivu kupikia hata mchuzi ..siku moja walipika mchzi wa kambare yaani wamechemsha tu kama supu then wanaweka juu ya wali ,ukiangalia kama wali umemwagiwa maji vile.😂😂😂😂

Asubuhi safi maandazi ,uzuri nilienda na sister kama wiki mbili akaanza kupika yeye Yale mambo ya kipwani aisee walikuwa wanaenjoy kinoma, alipika vibibi basi bibi akavigawa kwa watu kibao waonje kesho nikawaona wanakuja pale wanataka sister awafundishe kupika na kule Nazi ilikuwa ni begi ghali sana ilikuwa ni mkomazi.
😂😂😂😂
 
Huwa wanaishi maisha marefu yenye nguvu kweli nafikiri sababu ya food style, pia huwezi kuta wananenepeana, unakuta kizee cha kipare kiko 75 ila kina nguvu kweli na shamba kinaenda.

Hivi vyakula vinavyofurahisha kinywa nadhani si rafiki kwa mwili maana vijana wa mjini kuna vitambi fulani huotaga mtu anaonekana mzembe kweli. Waangalie kwenye majukwaa ya mipira utawaona.
 
Hayo ndo maisha mimi nayapenda sana aiseeeee huwa nikirudi nyumbani huwa napata shida sana kurudi mjini.

Wanakula vitu raw, tango nyanya vitunguu sijui nn unachukua shambani unakuja kula. Tuambie ww mjini umekulia nn
Hawa wazee wa chai na andazi tatu ndo kutwa kulia nguvu za kiume sisi tulioa kulia lishe za kibabe tunadunda tu...
 
Huwa wanaishi maisha marefu yenye nguvu kweli nafikiri sababu ya food style, pia huwezi kuta wananenepeana, unakuta kizee cha kipare kiko 75 ila kina nguvu kweli na shamba kinaenda.

Hivi vyakula vinavyofurahisha kinywa nadhani si rafiki kwa mwili maana vijana wa mjini kuna vitambi fulani huotaga mtu anaonekana mzembe kweli. Waangalie kwenye majukwaa ya mipira utawaona.
Ni kweli kabisa na movement zao ni noma bibi izo alikuwa kaenda age sana ila anatembea umbali mrefu kwenda shamba daily hapo mkomazi mpaka Kuna sehemu inaitwa makayo na ana shamba pia sehemu inaitwa bendera ni mbali na hapo ila anaenda kwa mguu na kurudi😂😂
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ni kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi.

Niko kijiji fulani sitataja mkoa
Niko na wenyeji wangu.

Asubuhi uji hauna sukari.

Mchana tumekula michembe

Usiku udaga na dagaa kama saba hivi kwenye bakuli.

Maisha haya magumu sana kijijin.

Tuwaombee
Wakishua bhana
 
Kuna nyumba usukumani huko tulikaribishwa ndani kula chakula. Ile kuingia ndani nyumba nzima inanuka maziwa mgando. Maziwa ni mazuri kama unakunywa wewe na sio kusikia harufu yake kwenye vyombo.
Hapo bado chakula hakieleweki...Nilishindikiza walaji
FB_IMG_16664719672715401.jpg
 
Ni kweli kabisa na movement zao ni noma bibi izo alikuwa kaenda age sana ila anatembea umbali mrefu kwenda shamba daily hapo mkomazi mpaka Kuna sehemu inaitwa makayo na ana shamba pia sehemu inaitwa bendera ni mbali na hapo ila anaenda kwa mguu na kurudi😂😂
Kabisa wana nguvu mno. Nakumbuka kuku alichinjwa akapikwa bila mafuta unaambiwa mwenyewe ana mafuta yake yanatosha.

Mjini Sasa na makange sijui vuruga kuku vitunguu.
 
Ni kweli vijiji vingi vya Afrika vimejaa wale maadui watatu waliotajwa na Mwalimu Nyerere, ujinga, maradhi na umaskini. Wananchi wengi wa vijijini wanakabiliwa na umaskini wa kutisha. Mvua ikichelewa tu kidogo ni balaa. Kuna kijiji nilienda eti wezi huwa wanaingia majumbani na kuiba unga wa ugali!! Nikastaajabu sana. Maradhi pia huwaandama kwa sababu ya ujinga na umaskini. Vijijini bado watu wananawa kwenye chombo kimoja maji yasiyo ya kutiririka. Hata vijiji ambavyo havina shida ya vyakula bado mapishi yao ni ya hovyo. Kwa mfano vijiji vya pembezoni mwa Ziwa Tanganyika vinapata samaki wa kutosha na dagaa ila upikaji wao ni ushuzi mtupu. Ukitoa vijiji vya uchagani huko kwingine hali ni mbaya sana.
 
Nilienda Machame sehemu inayoitwa Makoa darajani njia panda ya kwenda Kyalia na Kimbushi hapo wanafyatua matofali ya jamaa aitwaye Willy hapo hapo kuna mgahawa nilikula pilau tamu kinoma nikastaajabu sana ni zaidi ya mjini, kuna baadhi ya vijiji ukifika vyakula ni zaidi mjini.
 
Watu bana hiko chakula ndicho majority of us kimetukuza. Hapo maisha magumu ni yapi? Hiko chakula hakina nutrients au? Aliekula dagaa wa chukuchuku amekula mara 1000 better kwa yule alokula baga na piza..
Hayo maisha si magum ila wewe ndio umeleta ugum kwenye utambuzi na fasiri
 
Uko Kijiji Gani kak hao masikini tu na wavivu kulima sio vijiji vya kwetu manda
Kumbe unatokea kule, hv kwanini mnatuma wale mamba kuuwa watu aisee. Na lile ziwa lenu mmepewa la kukoga. Kubaya aisee nilienda wakati nipo Ludewa pale.
 
Ni kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi.

Niko kijiji fulani sitataja mkoa
Niko na wenyeji wangu.

Asubuhi uji hauna sukari.

Mchana tumekula michembe

Usiku udaga na dagaa kama saba hivi kwenye bakuli.

Maisha haya magumu sana kijijin.

Tuwaombee
Ukafanya conclusion kuwa vijiji vyote vipo hivyo
 
Back
Top Bottom