Dah kwa kweli kuna vyakula ni changamoto sana ila inabidi ule tu ili usionekane unaringa, nimecheka sana hiyo misosi ya kipareNilikaa upareni aisee sijawai kuona vyakula vya ajabu kama huko kwanza kande hazina sukari na ni magumu Yale mahindi ambayo yamekomaa wala hawaja koboa ,unatafuna kama karanga Yani Yale maji yaliyopikiwa izo kande bado nice meupe ...
Tunakaa pamepikwa wali eti mboga ni maziwa ya mgando yaani wavivu kupikia hata mchuzi ..siku moja walipika mchzi wa kambare yaani wamechemsha tu kama supu then wanaweka juu ya wali ,ukiangalia kama wali umemwagiwa maji vile.😂😂😂😂
Asubuhi safi maandazi ,uzuri nilienda na sister kama wiki mbili akaanza kupika yeye Yale mambo ya kipwani aisee walikuwa wanaenjoy kinoma, alipika vibibi basi bibi akavigawa kwa watu kibao waonje kesho nikawaona wanakuja pale wanataka sister awafundishe kupika na kule Nazi ilikuwa ni begi ghali sana ilikuwa ni mkomazi.
Mimi kande sijui maziwa ya mtindi vimenishinda kabisa!! Labda maziwa mtindi na ugaliDah kwq kweli kuna vyakula ni changamoto sana ila inabidi ule tu ili usionekane unaringa,nimecheka sana hiyo misosi ya kipare
Naweza kuwasaidia kwa siku mbili tatu ila nadhani msimu uliopita haukuwa mzuri kwao, hawana stock ya mchele wala mahindi, na mvua mwaka huu hazieleweki, huenda gali yao ikawa nbaya zaidiKama una namna ya kuwa saidia fanya hiyo utapata swawabu ni jambo la huzuni watu kukosa chakula
Nna shangazi yangu yupo jijini Daslamu, lakini ndo misosi yake ya hivyo 'wali supu' [emoji23]Nilikaa upareni aisee sijawai kuona vyakula vya ajabu kama huko kwanza kande hazina sukari na ni magumu Yale mahindi ambayo yamekomaa wala hawaja koboa ,unatafuna kama karanga Yani Yale maji yaliyopikiwa izo kande bado nice meupe ...
Tunakaa pamepikwa wali eti mboga ni maziwa ya mgando yaani wavivu kupikia hata mchuzi ..siku moja walipika mchzi wa kambare yaani wamechemsha tu kama supu then wanaweka juu ya wali ,ukiangalia kama wali umemwagiwa maji vile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asubuhi safi maandazi ,uzuri nilienda na sister kama wiki mbili akaanza kupika yeye Yale mambo ya kipwani aisee walikuwa wanaenjoy kinoma, alipika vibibi basi bibi akavigawa kwa watu kibao waonje kesho nikawaona wanakuja pale wanataka sister awafundishe kupika na kule Nazi ilikuwa ni begi ghali sana ilikuwa ni mkomazi.
Hayo ndo maisha mimi nayapenda sana aiseeeee huwa nikirudi nyumbani huwa napata shida sana kurudi mjini. Wanakula vitu raw, tango nyanya vitunguu sijui nn unachukua shambani unakuja kula. Tuambie ww mjini umekulia nn
Ukame huu tango unalipata wapi, yaani kuna mikoa kama Morogoro, Mbeya na Kagera ina nafuu ila kuna mikoa ukame umewatandika wanakula wasifeHayo ndo maisha mimi nayapenda sana aiseeeee huwa nikirudi nyumbani huwa napata shida sana kurudi mjini. Wanakula vitu raw, tango nyanya vitunguu sijui nn unachukua shambani unakuja kula. Tuambie ww mjini umekulia nn
Hujui chochote.Ni kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi.
Niko kijiji fulani sitataja mkoa
Niko na wenyeji wangu.
Asubuhi uji hauna sukari
Mchana tumekula michembe
Usiku ufaga ba dagaa kama saba hivi kwenye bakuli,
Maisha haya magumu sana kijijin
Tuwaombee
Acha kujitoa akili, michembe, udaga na dagaa wawili akili zotatoka wapi? Mwili unataka mlo kamili, protin, vitamin, starch, nimeona kwa macho yangu udumavu wa mwili na akili kijijini, ile miili ya magiant haipo tena, na vijiji vingi siku hizi wabatumia mbolea za viwandani na viuatilifu so kama ni sumu wote tunakula.Hujui chochote.
Ukitaka kujua brain people wa nchi hii ( wanatoka huko)
Jiuleze kuna nini?
Kunavyakula ambavyo ukila vinabakia kwenye mwili kwa faida ya mwili na akili.
mjini wanaita vyakula vya masikini.
Ndugu, jaribu kujifunza zaidi , utashangaa , mikate na sukari ni sumu. Sukuma week na Chinese hadi kabege unazokula mjini zimelowekwa kwenye sumu Kali ya kuua wadudu na binadamu.
Wenzako hawali hiyo sumu , wewe unabugia kama mshamba Fulani anayeweza kujisifu kwa kula sumu.
Si useme tu hupo kijiji cha mpwayungu wilayani Chamwino.Ni kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi.
Niko kijiji fulani sitataja mkoa
Niko na wenyeji wangu.
Asubuhi uji hauna sukari.
Mchana tumekula michembe
Usiku udaga na dagaa kama saba hivi kwenye bakuli.
Maisha haya magumu sana kijijin.
Tuwaombee
Huo ni mlo wa uhakika, kuna mikoa ukipika hivyo ni sherehe kwaoInategemeana kuna mikoa ina vyakula poa sana.
upikiwe dona ww na majani ya maboga yameungwa karanga + maziwa mtindi acha mchezo mkuu.
Huo ni mlo wa uhakika, kuna mikoa ukipika hivyo ni sherehe kwaoInategemeana kuna mikoa ina vyakula poa sana.
upikiwe dona ww na majani ya maboga yameungwa karanga + maziwa mtindi acha mchezo mkuu.
Kweli kabisa kula vyakula vyao yataka moyo piaDah kwq kweli kuna vyakula ni changamoto sana ila inabidi ule tu ili usionekane unaringa,nimecheka sana hiyo misosi ya kipare
Ngoja nijizuie maanNi kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi.
Niko kijiji fulani sitataja mkoa
Niko na wenyeji wangu.
Asubuhi uji hauna sukari.
Mchana tumekula michembe
Usiku udaga na dagaa kama saba hivi kwenye bakuli.
Maisha haya magumu sana kijijin.
Tuwaombee