appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,262
- 2,184
Mkuu siku hizi sioni tangazo lako la samaki.
wamelitoa aisee sijui kwanini ila naandaa kwanza picha zenye ubora ili nitoe tangazo lingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu siku hizi sioni tangazo lako la samaki.
wamelitoa aisee sijui kwanini ila naandaa kwanza picha zenye ubora ili nitoe tangazo lingine
Mimba inaingiaje Kwani Mjomba?
Si kwa kutiana?
Sikomi mkuu........baadhi ya wanawake wa kichaga walio kwenye Ndoa huambiwa wazae na ukoo mwingine tofauti na wa mumewe eti kwa kuhofiaKoma wewe.
Joyce kiria
Sikomi mkuu........baadhi ya wanawake wa kichaga walio kwenye Ndoa huambiwa wazae na ukoo mwingine tofauti na wa mumewe eti kwa kuhofia
- kama kuna kosa la kimila limefanyika ndani ya Ukoo basi yule mtoto wa nje ya ukoo atapona(hatadhurika)
- watoto wa ukoo wa mumewe wanaweza wakawa maskini au vichaa hivyo huyu wa nje atailea familia
- Eti ni mila kugegedwa nje ya ukoo......
je na ile tabia yenu ya Baba zenu kugegeda wakwe na kufukua makaburi halafu mnatunza mifupa ya wafu wenu mumeiacha....................??????
Scrap........unauhakika huyo uliyenae ndio baba yako halisi?, mbona umefanana na house boy wenu?!"
hata yesu wanasema alizaa na maria magdalena sasa cha ajabu nini mtume gwajima kumuweka mimba frola.hahahaha
Gwajima kasepa nchi gani tena huyu Flora naye haoni aibu wanamzalilisha Jesus na wazidi tu kuumbuka wanatumia dini kama kificho cha mambo yao
Nashangaa wanaume wazima mnatetea umarioo!!!! Hata kama kadungwa mimba hiyo ni sawa tu coz mme wake ni marioo anategemea sauti ya mkewe kuishi.... sasa kakutana na mwanaume kamili anaejua kutafta hela sio huyo Marioo mtaji mb.oro
Nilikuwa mwana JF wa kwanza kutoa uzi wa tuhuma nzito kwa Flora Mbasha kwa jinsi alivyokuwa amejipanga kumfunga mumewe,ili awe free kuendelea na mambo yake, uzi ule ulivutia wengi,na wengi wao wakiwa upande wangu,ni wachache walinipinga akiwemo sam love,masai dada,nadhani kila mmoja sasa hivi amesoma ktk vyombo vya habari juu ya u.shenzi alioufanya Mdada huyo wa kisukuma akijificha ktk koti la injili.
Gwajima amemdhalilisha sana MUNGU wetu kwa muda mrefu,na mwisho wa siku kaumbuka vibaya na kuikimbia nchi,Flora kamtesa sana mumewe, jamani vijana wenzangu kuweni makini sana na viumbe hawa waitwao "wanawake".
Hata kama kweli Mbasha alitembea na shemeji yake lakini aliyechangia tatizo hili ni mkewe, kinachokera zaidi ni kuwa wanajifanya ni watu wa Mungu kumbe ni devil's agents, hii inafanya hata watu waliokuwa wanataka kumrudia Mungu kushindwa kwa ujinga unaofanywa na watu washenzi kama Gwajima na Flora.
Sasa wote waliokuwa wakiwatetea mahayawani hawa waliotundikana hadi mimba sasa wote kimya,na wafunge midomo yao.
Hao wenzenu washashtuka hakuna Mungu Mtoto wala Mungu Watatu. Sasa wanapiga fedha na Wanawagongea Mademu wenu na Wake zenu maana hamna akili sawasawa.
Wanajenga majumba ya Kifahari na kununua Helcopter. Zindukeni sasa. Mbasha ushaingizwa choo cha kike. Kumbuka Maneno ya Baba yako ulipoamua kuritadi kwa ajili ya Mbunye. Sasa yamekukuta brother. Akili kichwani kwako!
![]()
![]()
Fikiria kwanza kabla ya kuandika! Na wasiwasi na akili zako azipo sawa.
Ndio!! ukimtazama kwa makini sana ana shepu kama kambale.