mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Naona hazikuwepo mkuu!Nauliza tu mliokuwepo kwenye msafara wa land Rover Arusha, hii gari one zero namini ilikuwepo gari Moja imara sana, ila lazima uwe fundi ikutumia hii gari nauliza ili mwakani nitoe juu ya mawe nami nije
Yaani kuwa na msafara wa land-rovers zaid ya 1000 halafu mnyama mandolin 109 akosekane !? Basi huo haukuwa masafara la land rover labda ni vitu vingine😀Nauliza tu mliokuwepo kwenye msafara wa land Rover Arusha, hii gari one zero namini ilikuwepo gari Moja imara sana, ila lazima uwe fundi ikutumia hii gari nauliza ili mwakani nitoe juu ya mawe nami nije
Zilikuwepo za kutosha,,, hadi series I zilikuwepoNauliza tu mliokuwepo kwenye msafara wa land Rover Arusha, hii gari one zero namini ilikuwepo gari Moja imara sana, ila lazima uwe fundi ikutumia hii gari nauliza ili mwakani nitoe juu ya mawe nami nije
Nauliza tu mliokuwepo kwenye msafara wa land Rover Arusha, hii gari one zero namini ilikuwepo gari Moja imara sana, ila lazima uwe fundi ikutumia hii gari nauliza ili mwakani nitoe juu ya mawe nami nije
We kweli 109 unaijua, series 1and 2 ni zile zina headlight kwenye radiatorZilikuwepo za kutosha,,, hadi series I zilikuwepo
109 kaka naijua vizuri na kwenye show zilikuwepo kibao tuu na hata hizo series 1 zilikuwepo piaWe kweli 109 unaijua, series 1and 2 ni zile zina headlight kwenye radiator
109 ni gari yangu ya kwanza kuendesha, na kujifjnzia ufundi pia,. Hazikuwaga na breki za uhakika kama unakumbuka. hadi leo siamini breki kwenye gari yoyote hata iwe mpya vip.109 kaka naijua vizuri na kwenye show zilikuwepo kibao tuu na hata hizo series 1 zilikuwepo pia
Ni kweli breki za mandolin ni za mgogoro hadi upampu mara kadhaa,,, steering yake ina play kubwa si mchezo109 ni gari yangu ya kwanza kuendesha, na kujifjnzia ufundi pia,. Hazikuwaga na breki za uhakika kama unakumbuka. hadi leo siamini breki kwenye gari yoyote hata iwe mpya vip.
Mkuu hizi picha kama unazo kwa wingi tunaziomba hapa. Zinavutia sana.109 zilikuwa mamia mkuu